Kumbe mtolea na mtulia ni watu wawili tofauti?Uzi huu ni wa Matokeo ya kura za Maoni ya Wabunge wasaliti kama kina Nassari, Lijualikali, Silinde, Mtulia, Mtolea n.k
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Makonda unaendeleaje hapo ulipo
Hajapita kaangushwaaaaa vibayaaaaahLusinde amepita...hapa ndo siwaelewi wapiga kura
Hakuna Chuo Cha Kata lazima kuyaheshimu maamuzi yake anayejua utamu wa ngoma ni yule anayecheza.Mtazamaji utamaliza maneno yote.🤣🤣🤣 Wangemuuliza Molel siri ya mafanikio. Katambi atajuta kuuacha ukuu wa wilaya. Elimu yake yenyewe ya chuo cha kata st Augustine.
Na gharama zitakua zimejiinua.Huyo muache apigwe kwenye sanduku
Silinde mbona wanasema kashinda*WALIO ANGUKIA PUA KURA ZA MAONI CCM*
*#TeamMwananzila*
1. Sophia Mjema
2. Paul Makonda
*#TeamKuungaJuhudi*
1. Mtulia
2. J. Nassari
3. Kafulila
4. Lijualikali
5. Silinde
6. Katambi
mtulia kinondoniKumbe mtolea na mtulia ni watu wawili tofauti?
Saaaaafiiiiiiiih sanaaaaahKyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
Lazma alie
Wamepishan kula 1 na mwanryNasikia Mollel kapita.
Huyu jiwe atampa hata uenenzi polepole atapigwa chini very soon maana makona kwa kiherehere yupo vizuri
Haka kafala ka katambi kalienda kugombea wapi?*WALIO ANGUKIA PUA KURA ZA MAONI CCM*
*#TeamMwananzila*
1. Sophia Mjema
2. Paul Makonda
*#TeamKuungaJuhudi*
1. Mtulia
2. J. Nassari
3. Kafulila
4. Lijualikali
5. Silinde
6. Katambi
NdioKumbe mtolea na mtulia ni watu wawili tofauti?
TundumaNasubiri kwa hamu matokeo ya huyu mbwiga.
Hahahahaha..atuombe pia radhi wanayangaKama ataweza na kuwa tayari ajitahidi amtafute Mzee Jaji Warioba amuombe Radhi kisha amrudishie Manji Pesa zake alizochukua pale Sea View.
TundumaWakuu David Silinde vipi huko
hahahaha, sa ye alisema anataka kazi ya kupiga deki mi nilishangaa sana alipoibukia kwenye kura za maoni.