20 Julai 2020
Kyela, Mbeya

Harrison Mwakyembe akinukisha akosa uvumilivu wa kisiasa

Ashangaa elimu ya watia nia wenzake ktk mkutano mkuu wa wilaya ya Kyela

Source : Habari Kwanza
 
Nilichogundua majimbo yenye mawaziri manaibu waziri wanaiba kura sana eti Molel katoboa
 
20 Julai 2020
Kyela, Mbeya

Harrison Mwakyembe akinukisha akosa uvumilivu wa kisiasa

Ashangaa elimu ya watia nia wenzake ktk mkutano mkuu wa wilaya ya Kyela

Source : Habari Kwanza
Safi. Hakuna kupepesa maneno. Ngumbaru si wa kuwachekea hata kidogo. PhD ndo kila kitu
 
Huyo hata angepata sifuri bado atapitishwa tu. Hana wasiwasi, ndiyo maana hakutumia nguvu sana
Wajuvi wanasema namba moja kawa kama bahari, hakai na uchafu, hata sijui kama ni kweli!

Kwani hao kamati wanakaa lini kutaja majina yatakayokwenda kushindana na upinzani? 23/06/2020 au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…