Acha Kueneza Ubaguzi, hao watu unaowabagu wamezaliwa Hapa hapa Tanzania, babu zao wamezaliwa hapa hapa Tanzani....hata somalia hawapajui

huu upuuzi Acha
Wale hawapo kwa ajili ya watanzania. Bashe kazaliwa Tanzania ?Kapata uraia juzi juzi kama sikosei baada ya 2005.Hawana mapenzi na Tanzania. Wapo kimaslahi binafsi zaidi.
 
Wale hawapo kwa ajili ya watanzania. Bashe kazaliwa Tanzania ?Kapata uraia juzi juzi kama sikosei baada ya 2005.Hawana mapenzi na Tanzania. Wapo kimaslahi binafsi zaidi.
Wabunge 97% ni maslahi Binafsi....ebu Ongea na nafsi yako ukweli, uwakilishi + Maslahi binafsi yanatangulia, Yumkini nyomi kama Lote wamegombea Safari hii yoote hiyo ni NJAA tu

Bado we kama mtu naekusoma hapa JF siku nyingi haikufaa kutumia hiyo Term kuwa si wazawa!! Ukianza hivyo utawafikia akina Abood, Tarimba Abbas, Shabibby kisa wana Asili ya kiarabu?

No way ebu achana na hii mambo CCM wao wameona wanafaa ndo maana wamepitia mpaka kupewa nafasi ya kugombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…