Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Poleni sana kwa yote lakini ndio demokrasia hiyo na tukumbuke pia kuna kushindwa na kushinda
Zaidi ya yote karibuni sana tuungane kwenye hizi foreni za Barabarani hapa Dar maana hufikia mtu kukaa hata masaa matatu ukiwa unaenda au kutoka mjini
Karibuni sana kitaani.
 
Kuna ukweli wowote kwamba Mwakyembe amegaragazwa?

Profesa Sosipeter Muhongo aongoza kura za maoni za kuwania nafasi ya Ubunge kwa Jimbo la Musoma vijijini kwa kupata kura 391 huku anayemfuata akipata kura 50 na watatu akipata kura 37

KURA ZA MAONI MKURANGA: Naibu Waziri ABDALLAH ULEGA Ashinda KWA KISHINDO (94%) . Matokeo 👇 ULEGA 1138, MLAO 50, MAWE 7, MWASIT 5, PEPO 3 Zilizoharibika 4 . Jumla ya kura zote halali 1214

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr Damas Ndumbaro ameongoza kura za maoni katika jimbo la Songea Mjini kupitia ccm kwa kupata kura 315 kati ya kura 598 zilizopigwa. 1. Ndumbaro 315 2. Fuko 200 3. Ibrahim 34 4. Mbilinyi 11 5. Mwl Mpendwa Milanzi 8 6. Mdede 5 7. Mhenga 5.
 
Afadhali
Jmn maombi yangu tuone sura mpya,sio kila siku majina yaleyale!

JESUS IS LORD[emoji120]
Mie naumia huko kwetu jenista anachukua tyuuuuuh km aliweka eti zoteeeeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeweka demarcation ya nguvu kweli kwani mimi nilifundisha UDSM hadi mwaka 1995. Kumbe baada ya mimi kuondoka kila kitu kilikwenda mrama vile! Nilimwacha rafiki yangu marehemu Prof Mbwette akiwa meneja wa transformation program hiyo iliyobadilisha UDSM kuwa choo ambamo kila mtu anaingia.
We mzee nuksi sana
 
Kama unajua wakati wa uchaguzi wa Bush walifanya recount kwa sababu kama hizi. Kwenye demokrasi siyo kweli kuwa ushindi ni ushindi tu. Kukiwa na wagombea watatu, halafu wawili wakapishana kwa kura ndogo sana, basi yule wa chini anatolewa halafu wale waliobaki wanapambinshwa tena. Huo ndio utaratibu unaotumiwa katika sehemu nyingi za kidemokrasiaingawa najua kuna sehemu ambazo hazifanyi hivyo.
Mwanry alistaafu Mkubwa
 
SHABIBY ASHINDA KWA KISHINDO GAIRO Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Gairo, Morogoro kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM): Ahmed Shabiby: 532 Dkt. Mmasa Joel: 8 Shehewa Chiduo: 6
Waongeze basi
 
Huenda ndiyo kapata muda wa kutosha kuongoza lile kundi la watu wasiojulikana. Who knows ?
Mwana kulitafuta mwana kulipata...sina ubaya na huyu mtu ila alijisahau kwakweli. Nafikiri ni funzo atabaki kwenye historia ili vizazi vijavyo vimsome na kuepuka kupitia mlango alioupita.
 
Back
Top Bottom