Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
😂😂😂😂😂😂😂😂 Wabongo ni noma sana hahahahaha lol!

nani7.jpg

Wabeja baba...umleavyo ndivyo akuavyo!​
 
wanaweza mkata faustin wakamweka
Mkuu statement ya mzee haikuwa General, statement contextually ilikuwa kwa walioacha kazi za uteuzi.
Mzee alisema watu wanatamaa, lakini wanaweza kwenda huko, wakashinda akawakata inategemea ameamkaje.
Haikuwa kwa kila atakayeshinda, it was so specific.
Labda kama hatutumii basement ya statement take ile anawea Fanya hivyo.
But in reference to that statement, ilikuwa kwa wauteule wake waliomkacha.
 
SHABIBY ASHINDA KWA KISHINDO GAIRO Matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Gairo, Morogoro kwa watia nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM): Ahmed Shabiby: 532 Dkt. Mmasa Joel: 8 Shehewa Chiduo: 6
 
Watu wanacho furahia ni kuwa... WANANCHI WA DSM WAMEMKATAA MAKONDA.. HAYO YA KUTEULIWA VITI MAALUM HAITUHUSU. SALAAM ZIMEMFIKIA MTEUZI WAKE KUWA WANANCHI WA DSM HAWAMTAKI MAKONDA.
Ni kweli kabisa,habari za kuteuliwa watajuana yeye na baba yake, ila ujumbe umefika kwamba hatakiwi na hakubaliki,akafie mbele,acha watu wakate keki
 
Kwa CCM sitoshangaa wakimkata mwenye kura 400 wakampa mwenye kura 50!!! Si miujiza ndivyo ilivyo...
 
Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.

Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.

Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?

Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
Shigongo ni mara ya 3 kagombea, mara 2 alipigwa chini
 
Ushindi ni ushindi tu, haizalishi umempita magoli mangapi. Aggrey Mwanry amekipata alichokitaka kwa ku risk kazi yake kubwa ya ukuu wa mkoa kwa kazi ndogo ya ubunge.
Kama unajua wakati wa uchaguzi wa Bush walifanya recount kwa sababu kama hizi. Kwenye demokrasi siyo kweli kuwa ushindi ni ushindi tu. Kukiwa na wagombea watatu, halafu wawili wakapishana kwa kura ndogo sana, basi yule wa chini anatolewa halafu wale waliobaki wanapambinshwa tena. Huo ndio utaratibu unaotumiwa katika sehemu nyingi za kidemokrasiaingawa najua kuna sehemu ambazo hazifanyi hivyo.
 
Jimbo la Kwela mkoani Rukwa, nani anayo matokeo aseme......?
 
Mkuu statement ya mzee haikuwa General, statement contextually ilikuwa kwa walioacha kazi za uteuzi.
Mzee alisema watu wanatamaa, lakini wanaweza kwenda huko, wakashinda akawakata inategemea ameamkaje.
Haikuwa kwa kila atakayeshinda, it was so specific.
Labda kama hatutumii basement ya statement take ile anawea Fanya hivyo.
But in reference to that statement, ilikuwa kwa wauteule wake waliomkacha.
Mkuu hujamsikia pole pole Leo??kasema kuongoza kwenye kura so ndo kupata tiketi.bado majina yanapelekwa kwenye kamati ya siasa wila. Kisha halmashauri kuu dodoma.
 
Back
Top Bottom