SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Kweli mkuuWalevi hawa wa club za usiku Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuuWalevi hawa wa club za usiku Arusha
View attachment 1512234
Inafika siku mzigo haubebeki tena!
Huyu kafulila tamaa zinamponza, asipewe hata utendaji wa kataMatokeo..... KIGOMA KUSINI
1.Eng sasilo kura 01
2.Bwire kura 02
3.Rugema kura 07
4.mzee Mtura kura 11
5.Chacharika kura 10
6.Aminiel kura 29
7.kafulila kura 64 (4)
8.Nashoni kura 141 (2)
9.Kizito kura 117 (3)
10.Hasna kura 273(1)
Juma mzee baba, ohoooooTafadhali wananchi tuachani masihara! Ni Kapuya yupi huyo?! Ina maana Juma nae ndo alichokuwa fomu, au? Au ni Kapuya mwanawe Juma?
Ungemalizia "***** zake"[emoji51]Huyu kafulila tamaa zinamponza, asipewe hata utendaji wa kata
Hii nimetafuta media zote sijaona, naomba source ya taarifa hiiMwibara
Kangi 4
Kajege 102
Mabula 398
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ungemalizia "***** zake"[emoji51]
Katambi UDSM?????? Hana sifa za kusoma UDSM yule.
Paukwa Pakawa,Mananasi yamekuwa matamu kuliko maembe!!Na huko Kyela mwanahabari wetu Benedicto Kikoromo (Ben Kiko) anaripoti ifuatayo 1. Ally Mlagila Jumbe (Kinanasi) 502
2. Hanta Albert Mwakifuna 288 3. Dr. Harison George Mwakyembe 252View attachment 1512165
Hivi hawakusoma alama za nyakati? Shenzi sana hawa wakae benchi kidogo itapendeza tamaa imewazidi pamoja na katambiKigoma Kusini Mkuu mshindi ni Hasna Sudi Mwilima 273
Kafulila katika wagombea wanne wa mwisho kura 64 tu,
Hizi ni chuki tu zako mkuu na udsmHapa unaiongelea ile UDSM ya tokea Uhuru wa Tanzania hadi ya mwaka 1995 au hii UDSM ya ' hovyo hovyo Product ' ya mwaka 1996 hadi 2019?
Tafadhali wananchi tuachani masihara! Ni Kapuya yupi huyo?! Ina maana Juma nae ndo alichokuwa fomu, au? Au ni Kapuya mwanawe Juma?
Hata mie nahisi si taarifa ya kweli...Lugola hawezi pata nne hata kama hawamtakiHii nimetafuta media zote sijaona, naomba source ya taarifa hii