Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

paulodaudi.jpg

Bembeleza mwana oooh, msitu mkubwa mamaaa, safari ni ndefu ooo...
Je sote tutaliwa na simba?​
 
Mkuu hujamsikia pole pole Leo??kasema kuongoza kwenye kura so ndo kupata tiketi.bado majina yanapelekwa kwenye kamati ya siasa wila. Kisha halmashauri kuu dodoma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi kibokoooooooooh
 
Nawashukuru sana wana kigamboni, atleast wana Yanga tupumzishwe sasa midomoni mwa wanasimba.. Habari ya mjini ni atafutiwe kazi nyingine ya kichama,wananchi wamemchoka! Yes! Kama wenzake wamemkata miguu huko sisi tusiyefungamana naye ni nani basi hadi tumpokee! Imeisha!
 
ni bora kukaa kimya kuliko ku comment kila ukionacho pasi na kujua chanzo chake. Itasaidia kuficha funza na ujinga ulionao.
Mjinga mwenzio alikuwa anasema wazee wa kiislam ndio wanaoamua nani aongoze kule kigoma mjini. Sasa ukiwa na akili timamu unaona kabisa ni upuuzi maana hao wazee wapo wangapi hadi wao wawashinde wapiga kura wote.? Yaani wote akili zao zimeshikwa na hao wazee wachache?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Nilichokiandika hakiendani na chochote ulichokiandika hapa abdool.

Issue ni shule pelekeni wanenu shule kwa wingi na wasiishie form four muwatupe shauri yenu
 
Hapa unaiongelea ile UDSM ya tokea Uhuru wa Tanzania hadi ya mwaka 1995 au hii UDSM ya ' hovyo hovyo Product ' ya mwaka 1996 hadi 2019?
Umeweka demarcation ya nguvu kweli kwani mimi nilifundisha UDSM hadi mwaka 1995. Kumbe baada ya mimi kuondoka kila kitu kilikwenda mrama vile! Nilimwacha rafiki yangu marehemu Prof Mbwette akiwa meneja wa transformation program hiyo iliyobadilisha UDSM kuwa choo ambamo kila mtu anaingia.
 
Jamani kangi lugola vipi

JESUS IS LORD[emoji120]
Kapata kura 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mungu wangu weeeeeeh khaaaah
 
Nawashukuru sana wana kigamboni, atleast wana Yanga tupumzishwe sasa midomoni mwa wanasimba.. Habari ya mjini ni atafutiwe kazi nyingine ya kichama,wananchi wamemchoka! Yes! Kama wenzake wamemkata miguu huko sisi tusiyefungamana naye ni nani basi hadi tumpokee! Imeisha!
Huenda ndiyo kapata muda wa kutosha kuongoza lile kundi la watu wasiojulikana. Who knows ?
 
Back
Top Bottom