Watakupinga lakini ni kweliWale hawapo kwa ajili ya watanzania. Bashe kazaliwa Tanzania ?Kapata uraia juzi juzi kama sikosei baada ya 2005.Hawana mapenzi na Tanzania. Wapo kimaslahi binafsi zaidi.
Kama kuna kakitu hapa; nimeona kule Iringa Mjini Mtambasavangu kashindaPia kutakuwa na Ushindi mkubwa kwa wale Wabunge wa Umoja wa Korosho kina Hawa Ghasia na wenzake. Wabunge wa JK/Lowassa wote watakuwa na Ushindi mkubwa. Wabunge wapya wa JPM watashindwa au kwa ushindi mwembamba sana.
Wewe huwa nakupuuza siku hizi, sio kwamba comment zako au uzi zako sizioni, la hasha!Kuna Watu ni Wapuuzi hapa Tanzania hadi huwa nawaza tu kwanini CORONA haikuondoka nanyi tu. Angekuwa hafai kuwa Mbunge angeshinda?
nani huyu?Huyo hata angepata sifuri bado atapitishwa tu. Hana wasiwasi, ndiyo maana hakutumia nguvu sana
Kabla hujasema kitu fanta uchunguzi,bashe kazaliwa nzega,mkiani taboraWale hawapo kwa ajili ya watanzania. Bashe kazaliwa Tanzania ?Kapata uraia juzi juzi kama sikosei baada ya 2005.Hawana mapenzi na Tanzania. Wapo kimaslahi binafsi zaidi.
sijakupata vema, inaonekana una hoja nzuri, ebu iweke wazi zaidiPia kutakuwa na Ushindi mkubwa kwa wale Wabunge wa Umoja wa Korosho kina Hawa Ghasia na wenzake. Wabunge wa JK/Lowassa wote watakuwa na Ushindi mkubwa. Wabunge wapya wa JPM watashindwa au kwa ushindi mwembamba sana.
Hivi wale waliopata kura zero a.k.a sifuri inamaana hawakujipigia ..CCM kweli janga
Msambatavangu ana nguvu kubwa sana kwenye siasa za IringaKama kuna kakitu hapa; nimeona kule Iringa Mjini Mtambasavangu kashinda
Alitaka kwenda kuonyesha umwambaSijui Nani aliyemshauri kwenda huko wakati Jimbo la Kibamba lilikuwa wazi,
Waziri mambo ya ndani ni mnyetiViti maalum havitolewi kwa walioomba kura za wananchi wakashindwa kuzipata. Kwa Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndiyo the most prestigious position kwa wakuu wa mikoa halafu akaipiga sadaka alikosea sana. Ni afadhali kutumbuliwa na mtu mmoja aliyekupa madaraka hayo kuliko kushindana na watu wengi na ukaonekana kuwa hufai.
sijakupata vema, inaonekana una hoja nzuri, ebu iweke wazi zaidi
Round ya kwanza tu konde lilikuwa la uzito ganMwakyembe knock out [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina majibu, hii inamaanisha Nini kwenye siasa za Tanzania za Sasa.
DuhSilinde kaangukia pua.
Kaangushwa vibaya sana.
Kapata kura za aibu.
Mawaziri waliotemwa kwa figisufigisu zikiwemo za aliyesema bila aibu "dady is coming" wapeta kura za maoni. Wale wanaume suruali walionunuliwa na kupachikwa ubunge wa duru za marudio wamejua sasa kuwa mwanaume kuhongwa na dume mwenzio ni LAANA.