Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Wale hawapo kwa ajili ya watanzania. Bashe kazaliwa Tanzania ?Kapata uraia juzi juzi kama sikosei baada ya 2005.Hawana mapenzi na Tanzania. Wapo kimaslahi binafsi zaidi.
Watakupinga lakini ni kweli
 
Pia kutakuwa na Ushindi mkubwa kwa wale Wabunge wa Umoja wa Korosho kina Hawa Ghasia na wenzake. Wabunge wa JK/Lowassa wote watakuwa na Ushindi mkubwa. Wabunge wapya wa JPM watashindwa au kwa ushindi mwembamba sana.
Kama kuna kakitu hapa; nimeona kule Iringa Mjini Mtambasavangu kashinda
 
Wale hawapo kwa ajili ya watanzania. Bashe kazaliwa Tanzania ?Kapata uraia juzi juzi kama sikosei baada ya 2005.Hawana mapenzi na Tanzania. Wapo kimaslahi binafsi zaidi.
Kabla hujasema kitu fanta uchunguzi,bashe kazaliwa nzega,mkiani tabora
 
Pia kutakuwa na Ushindi mkubwa kwa wale Wabunge wa Umoja wa Korosho kina Hawa Ghasia na wenzake. Wabunge wa JK/Lowassa wote watakuwa na Ushindi mkubwa. Wabunge wapya wa JPM watashindwa au kwa ushindi mwembamba sana.
sijakupata vema, inaonekana una hoja nzuri, ebu iweke wazi zaidi
 
Viti maalum havitolewi kwa walioomba kura za wananchi wakashindwa kuzipata. Kwa Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndiyo the most prestigious position kwa wakuu wa mikoa halafu akaipiga sadaka alikosea sana. Ni afadhali kutumbuliwa na mtu mmoja aliyekupa madaraka hayo kuliko kushindana na watu wengi na ukaonekana kuwa hufai.
Waziri mambo ya ndani ni mnyeti
 
Yaani ni hivi CCM ni chama cha Ulaji, sasa utawala huu mpya umekata ule utamaduni wa Ulaji uliozoeleka kwa wana CCM miaka yote.

Nikupe Mfano kwetu nilipozaliwa kuna Uwanja mkubwa wa CCM ambao umezungushwa maduka na ndani wanalaza magari.

Kabla ya JPM ile pesa nyingi ilikuwa inaishia kwenye kunufaisha makada wa eneo letu.

Kama unakumbuka ikaundwa kamati ya mali na namna pesa za chama zinahifadhiwa.

Hii inafanya kuwa watu wachache sana walio kwenye Cycle ya JPM ambao wanakula cake ya nchi.

Hii ya Jana na itakayotokea leo kuwakataa Watia nia wenye ukaribu na Mh Rais kwa kiingereza ni "Protest Vote" Protest Vote hutokea pale ambapo raia hawasikilizwi kwa hiyo hasira yao wanamalizia kwenye sanduku la Kura kwa kumchagua yule ambaye ni mpinzani wa kiongozi.

Nadhani nimeelezea vizuri.
sijakupata vema, inaonekana una hoja nzuri, ebu iweke wazi zaidi
 
Mawaziri waliotemwa kwa figisufigisu zikiwemo za aliyesema bila aibu "dady is coming" wapeta kura za maoni. Wale wanaume suruali walionunuliwa na kupachikwa ubunge wa duru za marudio wamejua sasa kuwa mwanaume kuhongwa na dume mwenzio ni LAANA.
 
Sina majibu, hii inamaanisha Nini kwenye siasa za Tanzania za Sasa.

Mkuu, muongeze Nape kwenye orodha ya Makamba na Ndugulile. Naye kapeta huko Mtama. "Bwana yule" sijui atakavyoamka huko "Halmashauri Kuu."
 
Mawaziri waliotemwa kwa figisufigisu zikiwemo za aliyesema bila aibu "dady is coming" wapeta kura za maoni. Wale wanaume suruali walionunuliwa na kupachikwa ubunge wa duru za marudio wamejua sasa kuwa mwanaume kuhongwa na dume mwenzio ni LAANA.

Yakafie mbali.
 
Back
Top Bottom