Nimekupata vema kabisa. Na ndio ukweli jana Kigamboni wasioridhika na "Mtawala" wamemalizia hasira zao kwa Makonda. Mwakyembe naye kawaje sasa, naona kapigwa!
 
Binafsi nimpongeze Ali Jumbe Mlagila Maarufu kama Kinanas asisahau kuwa watu tuliweka lehani maisha na nafasi zetu kwaajili yake

Nimpe pole Hunter Mwakifuna kwa mateso makubwa aliyopitia, kukamatwa, kufwatiliwa na kutishwa na kunyimwa kuzungumza na watu hata kwa siri lakini ukaibuka mshindi wa pili.
Hongereni wanakyela
 
Kama uliangalia Dodoma kwenye mkutano mkuu, kuna mjumbe mmoja kutoka Kusini alijitutumua akamwambia ukweli Mwenyekiti kwamba wao wamekitumikia chama kwa uhai wao wote, leo wanakuja watu wapya wanachukua vyeo wao wanawekwa pembeni.

Na hii inaweza kuwa imepangwa na Mh Raisi ili aone anakubalika kiasi gani kwenye jamii.

Ikiwa kama Mh Raisi atamua kuwarudisha watu wake ambao wamekataliwa basi ujue kutakuwa na chance kubwa kama yale yaliyoombwa na kina Juma Nkamia yakatimia.
Nimekupata vema kabisa. Na ndio ukweli jana Kigamboni wasioridhika na "Mtawala" wamemalizia hasira zao kwa Makonda. Mwakyembe naye kawaje sasa, naona kapigwa!
 
Hahahaha Mkuu naona Tarimba kanyanyua kinondoni

Sasa kesho Kawe ,Mwenda Swahiba wa Tarimba nae ananyanyua
Tarimba sikuwa na wasi naye
Kinondoni anakubalika
Tarimba mtu wa vitendo kwanza hana jealous hana ushambaaa...... Nishamtumia sms ya kumpongeza ijumaa nakutana naye pale kwa albabu kinondoni
Tutatafuna shawarmaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Hahaha, sasa na kawe anachukua Mwenda Hawa jamaa ni marafiki , na wanajua siasa vzr mno

Unadhani kwann hawakugombea 2015-2020 ,ingawa walikua madiwani na DED wa mkoa Musa Naty alikua MTU wao ?

Kifupi hao wawili wamejipanga , na ninajua njia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…