Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Daaaah ameondoka bila kumaliza kesi ya Shilole na Uchebe... wengi kawafikisha mtoni kawaacha...Ni kweli kabisa,habari za kuteuliwa watajuana yeye na baba yake, ila ujumbe umefika kwamba hatakiwi na hakubaliki,akafie mbele,acha watu wakate keki