Ameliwa eeeeee. Ha ha ha haaaaaa. Safi sana. Wenye chama chao wanaamuaHongera Mtulia umevuna 11 zako
Hawa ndiyo vidudumtu.Wakowapi sasa?
Wenzake amepata 588 jaffoHakubaliki kivipi wakati anaemfuatia kapata nusu ya kura zake?
Mambo ya CCM yanakuhusu? Subiri October mchukue nchi.Naulizia upande wa ccm
Hahha, kwahyo huko ni nderemo na vivyijo #uchaguzi 2020Mtulia rasmi tumemrudisha kulima mboga mboga dadeki zake
Hawa wote imetosha walivyowasaidia wenyehi, sasa wapumzike wenye nyumba wana kikao cha familiaAmeliwa eeeeee. Ha ha ha haaaaaa. Safi sana. Wenye chama chao wanaamua
Huyu Magufuli asivyotaka kushindwa atakuja kumpa ukuu wa mkoa au nafasi nyingine. Hatataka ''waliounga juhudi'' maisha yawaendee kombo kwani wengine watakata tamaa siku zijazo.Kutoka Kinondoni:
Mtulia kura 11
Nikimkumbuka Akwilina na Machozi ya Mwalimu huyo hastahili hata kuuza maembe.Mtulia akuze maembe[emoji16][emoji16]
Wengine Siwajui alijitoa.Moshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.
Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.
Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.
Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
Unaangalia kwenye nini mkuuHapo vip!!
Rais JPM,amesema kura zihesabiwe live,na niwapongeze jimbo la Kinondoni na Kigamboni kwa kutii amri ya mwenyekiti.
Arusha kuna nini...
Huyo atapanua miguu sio hudumaNgoja tumuone Gwajima anavyopanua huduma