Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Moshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.

Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.

Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.

Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
Wengine Siwajui alijitoa.
 
Katibu uenezi wa CCM wilaya ya ubungo komredi Mbaruk Masoud ametoa ufafanuzi kwamba kura za maoni hazitoi wala kutangaza mshindi bali ni mapendekezo tu kwa kamati kuu ya chama.

Masoud amesema kamati kuu haitaangalia umepata kura ngapi na umekuwa wa ngapi bali una sifa kuwapita wengine?

Masoud alikuwa akihojiwa na watangazaji wa Clouds tv.

Maendeleo hayana vyama!
 
Wadau msisahau kura za leo ni kutoa mapenekezo ya majina 3 kwa halimashauri kuu. Lakini halimashauri ndo inaamua nani awe mgombea. Wanaangalia hayo majina 3, lakini wanaangalia pia list ya watia nia wote kwenye jimbo husika. Hivyo msipoteze usingizi kabla Magu hajawapa majina ya wagombea.
 
Back
Top Bottom