mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Na huko Kyela mwanahabari wetu Benedicto Kikoromo (Ben Kiko) anaripoti ifuatayo 1. Ally Mlagila Jumbe (Kinanasi) 502
2. Hanta Albert Mwakifuna 288 3. Dr. Harison George Mwakyembe 252View attachment 1512165
Hawa syo washamba kwanzaHahaha, sasa na kawe anachukua Mwenda Hawa jamaa ni marafiki , na wanajua siasa vzr mno
Unadhani kwann hawakugombea 2015-2020 ,ingawa walikua madiwani na DED wa mkoa Musa Naty alikua MTU wao ?
Kifupi hao wawili wamejipanga, na ninajua njia zao
Hawa walivyopewa UDED UDC wakati wametoka kwenye kupigika wakapata vyeo wakajiona wao madon, leo hii wanataka uwaziri
Yote ugeni wa mambo.
Ova