Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Na huko Kyela mwanahabari wetu Benedicto Kikoromo (Ben Kiko) anaripoti ifuatayo 1. Ally Mlagila Jumbe (Kinanasi) 502
2. Hanta Albert Mwakifuna 288 3. Dr. Harison George Mwakyembe 252View attachment 1512165
Hahaha, sasa na kawe anachukua Mwenda Hawa jamaa ni marafiki , na wanajua siasa vzr mno

Unadhani kwann hawakugombea 2015-2020 ,ingawa walikua madiwani na DED wa mkoa Musa Naty alikua MTU wao ?

Kifupi hao wawili wamejipanga, na ninajua njia zao
Hawa syo washamba kwanza

Hawa walivyopewa UDED UDC wakati wametoka kwenye kupigika wakapata vyeo wakajiona wao madon, leo hii wanataka uwaziri
Yote ugeni wa mambo.

Ova
 
Yaani ni hivi CCM ni chama cha Ulaji, sasa utawala huu mpya umekata ule utamaduni wa Ulaji uliozoeleka kwa wana CCM miaka yote.

Nikupe Mfano kwetu nilipozaliwa kuna Uwanja mkubwa wa CCM ambao umezungushwa maduka na ndani wanalaza magari.

Kabla ya JPM ile pesa nyingi ilikuwa inaishia kwenye kunufaisha makada wa eneo letu.

Kama unakumbuka ikaundwa kamati ya mali na namna pesa za chama zinahifadhiwa.

Hii inafanya kuwa watu wachache sana walio kwenye Cycle ya JPM ambao wanakula cake ya nchi.

Hii ya Jana na itakayotokea leo kuwakataa Watia nia wenye ukaribu na Mh Rais kwa kiingereza ni "Protest Vote" Protest Vote hutokea pale ambapo raia hawasikilizwi kwa hiyo hasira yao wanamalizia kwenye sanduku la Kura kwa kumchagua yule ambaye ni mpinzani wa kiongozi.

Nadhani nimeelezea vizuri.
Ni kweli ila waliopiga kura ni wajumbe wa ccm sio wananchi kwa ujumla. Wale wajumbee sio wakuwaamini sana wao wanaweza tuwekea mgombea kwa matakwa yao au kwa maslahi yao au kwa mazoea na sio kwa maslahi ya uma.

Binafsi naamini kama hawa wagombea wangeteuliwa na Rais basi tungepata watu sahihi sana wa kuendana na uchumi wa kati. Wajumbe wanaweza kuwa na imani na mtu wananchi tukawa hatuna imani naye vice versa is true.
 
Hii ni Protest vote kwa maslahi yao wajumbe wa CCM, sijaongelea jamii kwa Ujumla. Ndio maana nikatoa mfano wa ofisi ya CCM na walivyokuwa wanajinufaisha.

Hata Wananchi haitokuwa tofauti sana. Protest Vote ya Wananchi itakuwa kutohudhuria kupiga kura, ikimaanisha kwamba wanayemtaka hatopata haki.
Ni kweli ila waliopiga kura ni wajumbe wa ccm sio wananchi kwa ujumla. Wale wajumbee sio wakuwaamini sana wao wanaweza tuwekea mgombea kwa matakwa yao au kwa maslahi yao au kwa mazoea na sio kwa maslahi ya uma.

Binafsi naamini kama hawa wagombea wangeteuliwa na Rais basi tungepata watu sahihi sana wa kuendana na uchumi wa kati. Wajumbe wanaweza kuwa na imani na mtu wananchi tukawa hatuna imani naye vice versa is true.
 
Ati nimeshiba

Ati nilikuwa na mishahara maratatu ya bungeletu nani kakuuliza

Aisee hii aibu kubwa sanaa

Wanyakyusa ccm oyeeee

Ttununuuuuuuuu

Ahsanten kwa kazi nzuri
Sasa kama umeshiba mbona anaendelea kula tu
Huo si ndiyo urohoo+ulafi
Wajumbe walikuwa wanamtazama tu [emoji23][emoji23]wanasema tunakusubiria

Ova
 
Makonda hakufanya reseach vizuri. angeweza kugombea Kibamba au Ukonga ambako kulikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda kuliko kwenda kupimana ubavu na Mbunge anayemaliza muda wake huku akiwa bado anakubalika na wana ccm wenzake.

Halafu, alichokifanya siyo afya kwa chama.
Kigamboni alidanganywa na jiwe eti wamkomoe Ndugulile! Kamewanyoosha! Kama wanataka wakaangushe wahamishie majeshi kwa Mageleli!
 
Sasa kama umeshiba mbona anaendelea kula tu
Huo si ndiyo urohoo+ulafi
Wajumbe walikuwa wanamtazama tu [emoji23][emoji23]wanasema tunakusubiria

Ova
Wanyakyusaaa nyokoooo
Wanyakyusaaaa.mwanaukomeeee
Ahsanteni kwa.kazi nzurii
Ubinadamu kazi JAMAN
Una MSHAHARA maratatu UNATAKA tena WA nn ubunge masikini kaona AIBU mjane yule
 
SIJAMTUMA MTU
PIMENI KADRI YA UWEZO WAO
TUKUTANE KAWE LEO
HAKUNA.JIPYA YALIOTOKEA KIGAMBONI NDIO KUJA KAWE

CCM INAJIELEWA INAJUA MWAKA HUU MGOMBEA N NANI WANAMHITAJI😇

CCM oyeeeeee
Tununuuuu WANA kyelaaaa
 
Kippi Warioba anashinda tena.
SIJAMTUMA MTU
PIMENI KADRI YA UWEZO WAO
TUKUTANE KAWE LEO
HAKUNA.JIPYA YALIOTOKEA KIGAMBONI NDIO KUJA KAWE

CCM INAJIELEWA INAJUA MWAKA HUU MGOMBEA N NANI WANAMHITAJI[emoji56]

CCM oyeeeeee
Tununuuuu WANA kyelaaaa
 
HII POST BAADA YA MATOKEO YA KAWE NAHISI MOD ATAKUWA ANASOMA YEYE NA WATU WAKE WA KARIBU TU LOH
NCHI IMESIMAMA KWA.MDAJANA HADI WABAILI WA DATA IKABIDI WANUNUE KUFWATILIA. MTIFUANO WA.KIGAMBON

CCM OYEEE
CCM TANO NYINGJNE
 
Uchaguzi wa kawe ugumu Upo ktk kata NNE zote zimetoa madiwani wanaogombea jimbo .hivyo inawezekana kila MTU akashinda kwake

Mfn
Ben sita Msasani
Muta lwakatare Kawe
Mwenda Mikocheni
Angela k'nyama
Yule bulldozer Bunju

Maana ake mgombea atakaye shinda kata 5 kati ya hizo 10 ndio mshindi
 
Back
Top Bottom