Sitaki nichekeeeeeee naona kanisa la ufufuo na uzima likisambaratika
 
Miitaji wamepata kujiajiri anaogopai kazi kuwaambia vijana mjiajiri zamu yako na makonda mkajiajiri
 
Nimemsikiliza rais hapa:

Ni kweli kiingereza kinamgonga sana. Ingawa lugha siyo uwezo wa utendaji, lakini du! Nina imani sana na utendaji wa Mmagufuli ila presentation yake inayohusisha kiingereza inahitaji kufanyiwa kazi kidogo.

Labda uwa hajiandii. Kwa Tanzania unaonekana kichwa ukiwa unatoa hotuba bila kusoma au kujiandaa sana.
 
Tutaelewana tu kidogo kidogo
Your browser is not able to display this video.
 
ATI NIMESHIBA
ATI NILIKUWA NA MISHAHARA MARATATU YA BUNGELETU NANI KAKUULIZA
AISEE HII AIBU KUBWA SANAA
WANYAKYUSA CCM OYEEEE

TTUNUNUUUUUUUU
AHSANTEN KWA KAZI NZURI
ALILE KAPO TUNUNUNUUU MWAKIPEKUPE TUNALIMA FIASI LAKININ HATUFILI,WANAFILA DARESALAAM.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna tofauti Katika utendaji ukiwa wazri na mbunge,wanaccm wameridhika na utendaji wao Kama wabunge,waliwachagua kuwa wabunge,swala la uwaziri na utendaji wao ka nawaziri haiwapi tabu
 
Kijitonyama sio kinondoni kaka
 
Kyala Ishimwe wanakyela. Mmejua kunifurahisha leo. Ndaga fijoooooo.
Kwa ujeuri ule wa Mwakyembe, alitastahili kupata zile kura 6 za Steve Nyerere! Yaani baada ya kusikiliza clips zake jana, nikajiuliza what if Mwakyembe angekuwa na cv angalau kama ya Lipumba; nadhani angemtukana hata Magu!!

Halafu siasa nazo, dah! Sijui Lipumba na yeye alirogwa nini kwa cv kama ile kuingia kwenye siasa za hovyo!!
 

Mkuu UDSM yako Wewe hiyo uliyoiacha ndiyo ilikuwa ' Mahiri ' ila hii UDSM ya Kizazi hiki ya akina Victoire ni ya ' Vilaza ' Watupu hadi inatia Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…