Kwani halima nae kachukua fomu ya kugombea kupitia chama cha CCM?Kawe baba askof anapita, halima akatagute kazi ingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani halima nae kachukua fomu ya kugombea kupitia chama cha CCM?Kawe baba askof anapita, halima akatagute kazi ingine
Endapo wote watatumia kigezo cha 'inategemea nitaamkaje'.Sasa uwezo wa daktari unaupimaje na uwezo wa the average Joe?
Mimi na MPA Yusuph MwendaKama si Kippi basi Legendary mwingine. Ila sio vuguvugu la Mataga.
Umefanya tathimini ? kila kata kila mjumbe mpiga kura?Kawe baba askof anapita, halima akatagute kazi ingine
Nimemsikiliza rais hapa:
Ni kweli kiingereza kinamgonga sana. Ingawa lugha siyo uwezo wa utendaji, lakini du! Nina imani sana na utendaji wa Mmagufuli ila presentation yake inayohusisha kiingereza inahitaji kufanyiwa kazi kidogo.
Mimi na MPA Yusuph Mwenda
Gwajima Jana kafeli kata ya msasani na mikocheni ,wajumbe km wamemkataa hv
ALILE KAPO TUNUNUNUUU MWAKIPEKUPE TUNALIMA FIASI LAKININ HATUFILI,WANAFILA DARESALAAM.😂😂😂ATI NIMESHIBA
ATI NILIKUWA NA MISHAHARA MARATATU YA BUNGELETU NANI KAKUULIZA
AISEE HII AIBU KUBWA SANAA
WANYAKYUSA CCM OYEEEE
TTUNUNUUUUUUUU
AHSANTEN KWA KAZI NZURI
Kijitonyama sio kinondoni kakaUchaguzi wa kawe ugumu Upo ktk kata NNE zote zimetoa madiwani wanaogombea jimbo .hivyo inawezekana kila MTU akashinda kwake
Mfn
Ben sita Msasani
Muta lwakatare Kawe
Mwenda Mikocheni
Angela k'nyama
Yule bulldozer Bunju
Maana ake mgombea atakaye shinda kata 5 kati ya hizo 10 ndio mshindi
Wapi nimesema kinondoni MkuuKijitonyama sio kinondoni kaka
Kwa ujeuri ule wa Mwakyembe, alitastahili kupata zile kura 6 za Steve Nyerere! Yaani baada ya kusikiliza clips zake jana, nikajiuliza what if Mwakyembe angekuwa na cv angalau kama ya Lipumba; nadhani angemtukana hata Magu!!Kyala Ishimwe wanakyela. Mmejua kunifurahisha leo. Ndaga fijoooooo.
Sijui Ulikua dunia ya wapiMakonda hoyeeeeh, Kwa dar kwenye majimbo akuna wa kushindana na Makonda. Makonda ni jina kubwa.
UDSM kama UDSM ya miaka yote...
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuku alibishana na mchinjaji 😀 😀 😀
Umeweka demarcation ya nguvu kweli kwani mimi nilifundisha UDSM hadi mwaka 1995. Kumbe baada ya mimi kuondoka kila kitu kilikwenda mrama vile! Nilimwacha rafiki yangu marehemu Prof Mbwette akiwa meneja wa transformation program hiyo iliyobadilisha UDSM kuwa choo ambamo kila mtu anaingia.