Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.View attachment 1512628
Kafulila hajatoa hata sent 5. Na ndy mgombea wa ubunge kwa taarifa yko