Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Level nyingine katika nini? uchawi? kwahiyo vijana wakienda kupiga kura kama wana mtaka mkristo wanajikuta wamechagua muislam? Toa ufafanuzi ni kwa vipi wazee wa kiislam wachache ndio wawe waamuzi wa uchaguzi wa mbunge.
Utakuwa huijui Kigoma vizuri wewe.
Wazee wa ujiji ni level nyingine asee
 
Nilichokiandika hakiendani na chochote ulichokiandika hapa abdool.

Issue ni shule pelekeni wanenu shule kwa wingi na wasiishie form four muwatupe shauri yenu
kumbe upo kwa ajili ya kutukana na kubishana, haya umeshinda. 👏👏👏
 
Mambo sasa hadharani. Siyo rocket science wala brain surgery. Ni hesabu rahisi tu za logic.

Ni hivi...

Kwa siasa za ndani na nje ya CCM, Makonda ni taswira ya JPM.

Huko Kigamboni, Makonda kaambulia 34.76% ya kura.
Hiyo ndiyo opinion ya wana CCM wa Kigamboni dhidi ya Makonda (mirroring JPM).

Hapana shaka kuwa huo ndiyo pia mtizamo miongoni mwa wana CCM walio wengi, wakiwamo wajumbe wa mkutano mkuu wao uliofanyika hivi karibuni kule Dodoma.... kwamba ndani ya mioyo ya wana CCM, JPM atakuwa anakubalika kwa 34.76% tu na siyo ile 100% ya maigizo.

Jee, ni nini tafsiri ya yote haya kuelekea uchaguzi mkuu October 2020?
Jibu ni rahisi.... kwamba kama uchaguzi mkuu ungekuwa unafanyika katika mazingira huru na haki, JPM asingeweza kuambulia hata 30% ya kura za Watanzania.

Makonda amekuwa ni barometer kuelekea October 2020.

Ni logic rahisi tu.
Mahesabu yako ya kijinga sana
 
Wengi wanaokubali Magufuli hawakubali makonda
 
KATIKA JAMBO AMBALO NALIONA NI LA AJABU SANA NI BONNA KALUA KUFAULU KUPITA JIMBO LA SEGEREA ILIHALI HAKUNA CHOCHOTE ALICHOFANYA KATIKA JIMBO HILI NI BORA HATA MAKONDA ANGEKUJA HUKU SIJUI WASHAURI NWAKE WALIKUWA AKINANANI
Bona mpeni haki yake kapambana Sana Ni resources tu hazitoshi Ila kidogo alichopata kakisimamia
 
Kennedy kakatwa mbona yuko kimya sana humu ?

Au anasubiri wa kwanza tukamtia cross, wa pili tukamtia cross, watatu tukamtia cross wanne tukamupa

Jamaa ana comments zake za Mungu ni Mwema Wakati Wote!

Huwa namtafakari jamaa, napenda sana style yake.
 
Makonda hakufanya reseach vizuri. angeweza kugombea Kibamba au Ukonga ambako kulikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda kuliko kwenda kupimana ubavu na Mbunge anayemaliza muda wake huku akiwa bado anakubalika na wana ccm wenzake.

Halafu, alichokifanya siyo afya kwa chama.
Alafu hata mimi nlishangaa sana Makonda anakubalika sana huku Ukonga
 
Kwa coment hizi ccm itashinda kwa kishindo sana mwaka huu
 
Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.
Screenshot_20200721-104023.png
 
Back
Top Bottom