Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.View attachment 1512628
[emoji23] [emoji23]Hapa MaCCM yamejua kunifurahisha walau mara 1 kwa miaka 10.
Dada yetu Mdee atapita kilaini. Bado ni muhimu ktk eneo hilo.Kabisa Ni mzaha Tena wakijinga kabisa
He is a backsliderKafulila anayumba tu hilo jimbo 2015 .Sem alishinda kabisa Sema alifanyiwa figusi figusi wakaiba kura
Nayeye katanga tanga kayumba hadi akaenda huko CCM
Halafu haelewani na DC Ubungo. Yaani kiujumla wasaidizi wake hawako happy hivyo support hana kabisa. Mtu mwenye akili na utashi huwezi kumuunga Makonda mkono hata kidogo. Uongozi kwake aliutumia sana kujijenga yeye na kujiona wa juu kuliko wote. Clips zake hazina heshima kabisa. Kiburi kikubwa kwa wakubwa zake wengine kisa eti amebebwa kwenye Mbeleko. Iko siku itakatika.Bashite alirukia jimbo la Kigamboni baada ya kuona Kawe na Ubungo ni kina ki refu. Tofauti na Tulia aliyejipnga Mbeya tangu 2016.
Watu wengine sijui mataahira? hivi kwenye hiyo list alitegemea kushinda?Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.View attachment 1512628
Alifanya investment ya ovet 300m kwa taarifa za chini. Wakamlia na wakamchinja. Ilikuwa projection ya kura 300!!!!Bado najiuliza..... Huyu muuaji kapata je kura 122 wkt ilitakiwa apate zero?
Hivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?
Yaani hivi vitukoHaya yanayoendelea kawe Ni dhahiri wasomi wetu Wana uwezo mdogo wakujieleza
Amepata Prof. Adolf Mkenda ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mali Asili na UtaliiJimbo la Rombo jaman
Jamani kwa wale wenye matokea Jimbo la Butiama, Mwibara, Tarime Vijijinikwahiyo Gambo uso kwa na Lema
haaaa wakiweja fair
Du....wamemkoma tumbili!Mbunge aliyatamba na kupata jina katika awamu yake moja ya ubunge (2010-2015) chini ya NCCR-Mageuzi bwana David kafulila amepigwa za uso na Mbunge aliyemaliza muda wake katika jimbo Hilo,Hasna Mwilima.
Dhambi ya usaliti wa upinzani haitawaacha salama, wajifunze kulidhika.View attachment 1512628