Profile ya Furaha Dominic na pichaKAWE
Angela Kiziga - 85
Gwajima - 79
Furaha Dominic - 101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Profile ya Furaha Dominic na pichaKAWE
Angela Kiziga - 85
Gwajima - 79
Furaha Dominic - 101
Gwajima wapi wewe?? Labda kula madhabahuniJimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Mama Anjelina aliwahi kuwa Mbunge afrika mashariki sio mtu mdogo kihivyoo na ni mzoefu zaidi ya huyo Gwajima pia anakubalika haswa kwa wamama wenzake, huyo Furaha pia yupo vizuri amewekeza kwenye jimbo la kawe na anafahamika sio kwa wote lakini anajulikana. nadhani aliyeshinda apewe kiti akapambane wengine watamsupport.Jimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
13Yule Chalii aliye bebwa na Chadema akaunga juhudi kapata ngapi?? Simuoni kwenye list hapo[emoji108]
Nimefurahi balaa. Furaha yangu inazidi kua kubwa siku hadi siku. Jana nimefurahi nikajikuta nakula zaidi ya diet plan yangu. Leo mwendo ni ule ule. Hapa natafta sehemu nzuri jioni nile na nipate mtoto mzuri akaniongezee furaha.Furaha - 101
Kiziga - 85
Gwajima - 79
Haya sasa Porn Star amedondokea kiuno,
no more porn videos.
Uchaguzi Mkoa wa DSM hasa wa mwanamfalme ndiyo umefanya somo kubwa na ikakuta ni mtu tu anazungumziwa. Huko social media ni clips zake tu za maneno aliyoyatamka huko nyuma. Utafikiri ni yeye mtia nia pekee Tanzania nzima. AjitafakariUnazungumza kitu muhimu sana , lakini muda umefika tuzungumzie issues na sio watu, mtandao wetu unapaswa uwe juu kuliko kushinda kuzungumzia watu tuu.
kwani mfanyabiashara sio mfanyakazi? Angekuwa hafanyi kazi angekuwa na biashara? Gwajima sio mfanyakazi ? Angekuwa hafanyi kazi angekuwa na waumini na kanisa? Mfano Bakheresa sio mfanyakazi angekuwa hafanyi kazi angemiliki mali zote zile?Chama cha wanyonge...... JE WANAOPITISHWA NI WANYONGE?
Chama cha wakulima na wafanyakazi.... JE WANAOPITISHWA NI WAKULIMA NA WAFANYAKAZI?
Ccm ni chama cha mafisadi na ukoo wa panya unaolitafuna taifa....
Ndiyo wamegawana hadi tatu bora wamebaki na hizo.Wajumbe walikuwa zaidi ya 400
Waislamu watamtosa balaa kutokana na matamshi yakeUpo sahihi mkuu, Gwajima anapaswa kupewa nafasi achuane na Mdee.
Yule Chalii aliye bebwa na Chadema akaunga juhudi kapata ngapi?? Simuoni kwenye list hapo[emoji108]
Acha kueneza usolijua. Anjela hana kitu huyo!Mama Anjelina aliwahi kuwa Mbunge afrika mashariki sio mtu mdogo kihivyoo na ni mzoefu zaidi ya huyo Gwajima pia anakubalika haswa kwa wamama wenzake, huyo Furaha pia yupo vizuri amewekeza kwenye jimbo la kawe na anafahamika sio kwa wote lakini anajulikana. nadhani aliyeshinda apewe kiti akapambane wengine watamsupport.
Hakuna jiwe litaachwa bila kugeuzwa.. Kilio cha Mbowe hakita waacha salama..
Ukiwa na huyo mrembo leo chakata miuno kama ya gwajima.Nimefurahi balaa. Rufaha yangu inazidi kua kubwa siku hadi siku. Jana nimefurahi nikajikuta nakula zaidi ya diet plan yangu. Leo mwendo ni ule ule. Hapa natafta sehemu nzuri jioni nile na nipate mtoto mzuri akaniongezee furaha.
Wakati nawza hili na ww ukawaza Kama mmWaislamu watamtosa balaa kutokana na matamshi yake