Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
HahahahahKama unataka kumuna gwaji nenda porn hub yupo live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahKama unataka kumuna gwaji nenda porn hub yupo live
Furaha - 101
Kiziga - 85
Gwajima - 79
Haya sasa Porn Star amedondokea kiuno,
no more porn videos.
CCM haitafuti mtu wa kupimana na mtu yeyote inatafuta mtu atakayewafaa kutekeleza ilani ya CCM.Na kwenye ilani hakuna kipengele kinachosema mtu atateuliwa kwa lengo la kupimana ubavu na mtu labda kwenu Chadema NDIO kuna huo ujinga sababu kwenu uchaguzi mnajiingilia hamna cha ilani wala nini ni kupimana ubavu tu!!!Huyu Furaha ameangusha mibuyu haswa lakini wasiwasi wangu sioni kama msuli wake unatosha kwa Mdee. Ngoja tusubiri kamati kuu tuone kama haitopindua meza
Gwajima hana mvuto kwa wananchi ndiyo maana kura zake za wajumbe ambao ni wananchi zimekua chache.Jimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Rafiki yako Mashinji kapata kura mbili Kawe[emoji209]Nimefurahi balaa. Rufaha yangu inazidi kua kubwa siku hadi siku. Jana nimefurahi nikajikuta nakula zaidi ya diet plan yangu. Leo mwendo ni ule ule. Hapa natafta sehemu nzuri jioni nile na nipate mtoto mzuri akaniongezee furaha.
Akili zako ziko kama hiyo avatar yako mkuu. Hivyo hukukosea kujiita bujibuji.CCM imeharibu mfumo wa nchi nzima kuanzia kwenye siasa, uchumi, utamaduni, elimu, maadili na kila kitu.
CCM Ni chama kilichoasisi ufisadi na kuwakumbatia mafisadi.
Hata Magufuli anacheka na wezi na anawapa vyeo.
Takukuru walishasema Andengenye na Kangi Lugola wamethibitishwa Wana kesi ya kujibu, lakini mwenyekiti wa CCM ndio Kwan anawapa tena nafasi nono zaidi.
Ule wizi wa trillion moja uliwezekanaje bila Nsumba Ntale kujua?
Alikuja cdm anavaa sendles minywele mirefu
Chama kikampigania hadi kumlipia Ada Mar kadhaa
Huyu kama kuondoka cdm angeondoka kmya kmya syo kwa kejeli zile, ona sasa
Ova
Mkuu mateso aliyokuwa anayapitia huyu Elia n makubwa mno. Acha atafute ugali wake. Maaana alikuwa akitoka Kakonko Hadi kwao Kabale, anabadili boda na njia siyo chini ya 5 ili awapoteze UsalamaHakuna jiwe litaachwa bila kugeuzwa.. Kilio cha Mbowe hakita waacha salama..
Jiwe hataamini hasira za watanzaniaMdee anachukua hili Jembe asubuhi
Pascal Mayalla naona leo nawe umegonga kile kibwagizo cha kuunga mkono juhudi za rais
Naona shemeji yake gwajima unampigia promo hapa....... Usiwapangie Wana ccmJimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...
Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinasema Tale amedondokea tumbo hadi ametapika mishkaki miwili na chips kavu alizokula jana usiku.Mwita Waitara ????Babu Tale ????
Yes wakiweka Mtumishi wa Christianity, halafu sio mtumishi tu, ambaye amekuwa na Kauli si njema sana kwa Muslim;Waislamu watamtosa balaa kutokana na matamshi yake
Hawezi Siasa Gwajima; Kama anaweza Acha Kufundisha Habari za Ufalme wa Mungu, Akaanzisha Series ya kumshambulia mtu Personaly; Unafikiri Jukwaa la Sias litakuwaje?Tatizo Gwajima Ni mdini. Wakirudisha Jina tu wamekwisha. Huwa anadhihaki Dini nyingine
Huyu n Nani kwani.....maana umezoom mpaka duuuMwingine huyu hapa utadhani anataka kung'olewa jinoView attachment 1512828
Mshindi Furaha Dominic jacob. Halima hapa mapemaa sana anashindaa
Na Mimi wasiwasi wangu uko hapo tuHuyu Furaha ameangusha mibuyu haswa lakini wasiwasi wangu sioni kama msuli wake unatosha kwa Mdee. Ngoja tusubiri kamati kuu tuone kama haitopindua meza