Gwajima wapi wewe?? Labda kula madhabahuni
 
Mama Anjelina aliwahi kuwa Mbunge afrika mashariki sio mtu mdogo kihivyoo na ni mzoefu zaidi ya huyo Gwajima pia anakubalika haswa kwa wamama wenzake, huyo Furaha pia yupo vizuri amewekeza kwenye jimbo la kawe na anafahamika sio kwa wote lakini anajulikana. nadhani aliyeshinda apewe kiti akapambane wengine watamsupport.
 
Furaha - 101
Kiziga - 85
Gwajima - 79
Haya sasa Porn Star amedondokea kiuno,
no more porn videos.
Nimefurahi balaa. Furaha yangu inazidi kua kubwa siku hadi siku. Jana nimefurahi nikajikuta nakula zaidi ya diet plan yangu. Leo mwendo ni ule ule. Hapa natafta sehemu nzuri jioni nile na nipate mtoto mzuri akaniongezee furaha.
 
Unazungumza kitu muhimu sana , lakini muda umefika tuzungumzie issues na sio watu, mtandao wetu unapaswa uwe juu kuliko kushinda kuzungumzia watu tuu.
Uchaguzi Mkoa wa DSM hasa wa mwanamfalme ndiyo umefanya somo kubwa na ikakuta ni mtu tu anazungumziwa. Huko social media ni clips zake tu za maneno aliyoyatamka huko nyuma. Utafikiri ni yeye mtia nia pekee Tanzania nzima. Ajitafakari
 
Mkoa wa Kigoma
Kigoma Kaskazin
i
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51
 
Chama cha wanyonge...... JE WANAOPITISHWA NI WANYONGE?

Chama cha wakulima na wafanyakazi.... JE WANAOPITISHWA NI WAKULIMA NA WAFANYAKAZI?

Ccm ni chama cha mafisadi na ukoo wa panya unaolitafuna taifa....
kwani mfanyabiashara sio mfanyakazi? Angekuwa hafanyi kazi angekuwa na biashara? Gwajima sio mfanyakazi ? Angekuwa hafanyi kazi angekuwa na waumini na kanisa? Mfano Bakheresa sio mfanyakazi angekuwa hafanyi kazi angemiliki mali zote zile?

Au kwako tafsiri ya mfanyakazi ni ipi?
 
Acha kueneza usolijua. Anjela hana kitu huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…