Nijua
Nadhani udini sio factor muhimu kwa Jamii iliyopevuka km Huko Mwanga ambako tumeshuhudia Alianza Davis Msuya(Mkristo) akafata Jumanne Maghembe (Muislam) Sasa CCM wamemchagua Joseph Tadayo ambaye ni Mkristo.
Hapa tunajifunza kuna wenzetu wanaangalia Uwezo na mahitaji yao ya wakati husika. Mfano zama za Msuya wenzetu kipaumbeke kilikuwa Kumpata mtu atakayekwenda kupewa nafasi Fulani ya uongozi ngazi ya Waziri ili awasaidie Kutengeneza Mtandao wa kusukuma Maendeleo kwao na kuwapa elimu na ajira. Alipofika Maghembe na yeye tulishuhudia akifanya Elimu na Maendeleo kwao huku akiwa ametoa jibu la udini sababu miaka yote hiyo hatujasikia Jamii yao ikilalanikia udini toka kwa mtangulizi wake hadi yeye na kwa hakika na yeyoye watakayempatia kijiti.

Tusisahau kuwa pia wenzetu familia moja inaweza kuwa na Member Mkristo Mwingine Muislam, Mlokole nk na wote hushirikiana katika Matukio ya imani zao bila kubaguana.
 
Mtu pekee anayeweza kupambana na upinzani Dar es salaam na kushinda kihalali jimbo lolote lile ni Tarimba Abbas, Idd Azan na Zungu wa Ilala hao pekee ndio wanaweza kushinda jimbo lolote Dar es salaam kupitia CCM wengine itakuwa mbeleko tu...Dar inawenyewe kweli watoto wa mjini..
 
😂😂😂😂 hiyo TISS FAKE ya iliyojaa maccm!?

Ndio hiyo Hiyo Fake itamset, simshauli afungue mdomo kabisa kutoa Siri za Mh Raisi

Hata kama safari yake ya kisiasa imeishia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…