Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkurunzinza ! Duu huyu atakuwa ndugu wa PierreBiharamulo
1. Dr Sebuyoya Nkurunzinza - 194
2. Ezra Chiwelesa- 113
3. King - 46
4. Ziyuni - 40
5. Kipeja - 35
6. Kasusura - 31
7. Sikitu - 17
8. Shangwe - 16
Huyo Sitta ana uzoefu gani bora hata Angella angalau wajumbe watachekaGwajima hana uzoefu wa kisiasa kupambana na Mdee.
Kama CCM wako serious kulichukua jimbo la Kawe kwa box la kura wamuweke Benjamin Sitta
Yeyote ajaye sie tupo tayari View attachment 1512824
Nasikia ni dereva wa maloriFuraha Dominic ni nani ?Alikuwa Diwani ama ?
Kumbe kidume ?Huyu ndo Komredi Furaha DOMINICK JACOB
View attachment 1512845
Ni mchawi overDuh!, kwanini lakini!? damn!
Ningependa kumuona Gwajima.Mwaka huu ng'ombe atachinjwa alivyolala. Huyo kijana wanaenda kumkata na mgombea anakuwa Benjamin Sita
Kasusura alisifiwa hapa kumbe wajumbe wana yao ya MoyoniNkurunzinza ! Duu huyu atakuwa ndugu wa Pierre
Sitta angeenda urambo!Mwaka huu ng'ombe atachinjwa alivyolala. Huyo kijana wanaenda kumkata na mgombea anakuwa Benjamin Sita
ANAMSIFIA FURAHA KUMBE HAMJUIHuyu ni mwanaume mkuu
Tulia sindano ikuingie maungoni ili upone huo ugonjwa wako.CCM haitafuti mtu wa kupimana na mtu yeyote inatafuta mtu atakayewafaa kutekeleza ilani ya CCM.Na kwenye ilani hakuna kipengele kinachosema mtu atateuliwa kwa lengo la kupimana ubavu na mtu labda kwenu Chadema NDIO kuna huo ujinga sababu kwenu uchaguzi mnajiingilia hamna cha ilani wala nini ni kupimana ubavu tu!!!
OHH Lisu atakuwa na ubavu wa kupimana na Magufuli !!!! mnawaza vitu vya kijinga kijinga tu hata hamuelewi mtu hugombea kwa lengo lipi!!! very sad
Upinzani kujua siasa itawachukua karne nyingi sana
Ndio maana kwa Chadema mtu pekee anayeelewa siasa kwa sasa ni Nyalandu tu angalau anajielewa kwa nini anataka kugombea uraisi.Lisu zero!!! Anawaza kupimana ubavu na Magufuli!!!
Mwita Waitara ????Babu Tale ????
Eeee???