Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Jimbo la KAWE:

1- Furaha Dominic Jacobo: 101✔️

2- Angela Charles Kiziga: 85

3- Josephat Gwajima: 79

4- Benjamini Sitta: 61

Dkt Vicent Mashinji amepata kura 2

Kippi Warioba kura 3
 
IMG-20200721-WA0032.jpg
 
CCM haitafuti mtu wa kupimana na mtu yeyote inatafuta mtu atakayewafaa kutekeleza ilani ya CCM.Na kwenye ilani hakuna kipengele kinachosema mtu atateuliwa kwa lengo la kupimana ubavu na mtu labda kwenu Chadema NDIO kuna huo ujinga sababu kwenu uchaguzi mnajiingilia hamna cha ilani wala nini ni kupimana ubavu tu!!!

OHH Lisu atakuwa na ubavu wa kupimana na Magufuli !!!! mnawaza vitu vya kijinga kijinga tu hata hamuelewi mtu hugombea kwa lengo lipi!!! very sad

Upinzani kujua siasa itawachukua karne nyingi sana

Ndio maana kwa Chadema mtu pekee anayeelewa siasa kwa sasa ni Nyalandu tu angalau anajielewa kwa nini anataka kugombea uraisi.Lisu zero!!! Anawaza kupimana ubavu na Magufuli!!!
Tulia sindano ikuingie maungoni ili upone huo ugonjwa wako.

Hilo jimbo tayari mmesha mkabidhi tena mh Mdee mapema tu.

Mwenzako huyo hapo chini anajiandaa kuhamia ACT wakati wowote kuanzia sasa
FB_IMG_1595334876930.jpeg
 
Back
Top Bottom