Kumbe ni msomi huyu kijana uwiiiiiiih, lol
Niko hapa nasubiria bila majibu.Mwita Waitara ????Babu Tale ????
Unajua unacho kiuliza? Hivi umeona hyo n laboratory ya nn?Laboratory tu imetosha kuwa msomi au sio!
Mkuu huko kwenu Mara tupe updates ya mwita waitara.Ndiyo nani huyo Mkuu?
Subiri uoneMbona matokeo rasmi sijayaona ?Itakuwa bado. Maana huyu ni star wa social media.
Eti talle na mwita waitara imekuaje?Subiri uone
JESUS IS LORD[emoji120]
Huyo Eliya ndio Elia Michael aliyekuwa CDM?Mkoa wa Kigoma
Kigoma Mjini
Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76
Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51
Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10
Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.
Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13
Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
Hiyo kura moja sio yake mkuu kwani wanaopiga kura ni wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo/wilaya husika. Na najua yeye si mjumbe kwa hakika.1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.
Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Mkuu huko kwenu Mara tupe updates ya mwita waitara.
Haswa!!!!Huyo Eliya ndio Elia Michael aliyekuwa CDM?
Amandla...
Hakuna anapokubalika ndio maana amekuwa "myebusi" anahangaika makanisani na misikitini kutafuta huruma za "mafarisayo na masadukayo"Sisi hilo halituhusu Mkuu ila tunavyojua ni kwamba kwa Jimbo la Kigamboni hakubaliki na wana Kigamboni wametuthibitishia hilo leo hii tena wazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safiiiiiiih sanaaaaahNasikia nae ' Kaambulia ' Kura Moko ( Moja ) tu kama Yule Mdau mwingine wa hapa Mr. Njaa Naombeni Msamaha alivyoijua ' Cow Way ' vyema.
Nkurunzinza Ni daktari mkuu wa hospitali teule ya Biharamulo wa miaka mingi tu huyo ni mtanzaniaIdara za uhamiaji mapema wamchunguze huyo mtia nia anaweza akawa si na wapinzani wakapata mahali pa kusemea
Huko tittwer ana haha km nn anaropoka tyuuuh, na visivyokuwepo km chizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna anapokubalika ndio maana amekuwa "myebusi" anahangaika makanisani na misikitini kutafuta huruma za "mafarisayo na masadukayo"
Hivi yey anavotaka kwenda bungeni , afu hospital abaki nan aaaaaaahNkurunzinza Ni daktari mkuu wa hospitali teule ya Biharamulo wa miaka mingi tu huyo ni mtanzania