Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
Huyo Eliya ndio Elia Michael aliyekuwa CDM?

Amandla...
 
1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.

Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Hiyo kura moja sio yake mkuu kwani wanaopiga kura ni wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo/wilaya husika. Na najua yeye si mjumbe kwa hakika.
 
Wadau, hivi huyo Selemani Nchambi ameruhudiwa vipi kugombea Ubunge na CCM wakati alihukumiwa na mahakama kwa kosa la kuhujumu uchumi?

Vv
 
Nasikia nae ' Kaambulia ' Kura Moko ( Moja ) tu kama Yule Mdau mwingine wa hapa Mr. Njaa Naombeni Msamaha alivyoijua ' Cow Way ' vyema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safiiiiiiih sanaaaaah
 
Idara za uhamiaji mapema wamchunguze huyo mtia nia anaweza akawa si na wapinzani wakapata mahali pa kusemea
Nkurunzinza Ni daktari mkuu wa hospitali teule ya Biharamulo wa miaka mingi tu huyo ni mtanzania
 
Nimefatilia kiasi chaguzi kadhaa hizi za mchujo na kuona wagombea wakipewa muda wa kati ya dakika 1-3 kujinadi kwa wapigakura wao na hatimaye kutakiwa kuombakura.

Wakuu ninapata shida kuelewa ni kwa namna gani unaweza kutumia dakika moja au hata hizo 3 kushawishi mtu na kuhamasika kumpigia mtu kura.

Nachokiona hapa watu tayari wanakuwa na wagombea wao 'mifukoni' na kinachofanyika ni kukamilisha ratiba tu au mnasemaje?

Ubaya naouona wa mfumo huu wa 'ivisha maharage fastafasta' tunaweza kuwa tunapoteza wagombea wazuri kwa sababu watu hawapati muda wa kusikiliza na kupembua hoja za hawa wagombea.
 
Hakuna anapokubalika ndio maana amekuwa "myebusi" anahangaika makanisani na misikitini kutafuta huruma za "mafarisayo na masadukayo"
Huko tittwer ana haha km nn anaropoka tyuuuh, na visivyokuwepo km chizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom