gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Mboga mboga wanapiga spana mzee ni hatareeeIla Mbogamboga kwenye hili la kuwachinjia baharini wale waunga juhudi wametisha sana..japo sijafurahishwa sana na Mollel kule Siha..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboga mboga wanapiga spana mzee ni hatareeeIla Mbogamboga kwenye hili la kuwachinjia baharini wale waunga juhudi wametisha sana..japo sijafurahishwa sana na Mollel kule Siha..
Mkuu nje ya mada,Taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinasema Tale amedondokea tumbo hadi ametapika mishkaki miwili na chips kavu alizokula jana usiku.
We boya hicho sio kigezo Cha mtu kutolewa jina lake ...Wakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.
Safi sanaKapigwa za uso
Basi sawa mkuu nimekuelewa.Mkuu nje ya mada,
Hapo nilipo-bold: Natumai ulikusudia kusema thibitishwa. Nimekua naona baadhi ya watu wanatumia. Hata Vodacom Mpesa. Ikabidi nifanye kuuliza magwiji wa Kiswahili ikiwemo mzee Barnabas Maro. Akanieleza hakuna neno kama hilo. Wengi tunakosea huku tukiwa na nia ya kumaanisha kuthibitishwa. Neno kudhibitishwa hakuna ktk Kiswahili fasaha.
Wakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.
Endelea kujidanganya tu.Kuna busara ya kikao cha watu 24, kuna kushinda pale kawe ndani ya sisiemu na kuna kushinda jimbo la kawe.
Duh kumbe ndi yuko hivi, ndio maana hajaoa hadi Leo. Sijui Mara ya mwisho kapiga lini mswakiHuyu hapo chini nadhani yupo wodini anataka kung'olewa jino maana siyo kwa kuachama hukoView attachment 1512914
Kuna busara ya kikao cha watu 24, kuna kushinda pale kawe ndani ya sisiemu na kuna kushinda jimbo la kawe.
Endelea kujidanganya tu.
Pumbav
Duh kumbe ndi yuko hivi, ndio maana hajaoa hadi Leo. Sijui Mara ya mwisho kapiga lini mswaki
Mkuu hapo umeniacha tayariOmera niang omaki
We boya hicho sio kigezo Cha mtu kutolewa jina lake ...
Rushwa ndio kigezo Cha mtu kutolewa acha kuota
Ila wale waliounga juhudi wananyoshwa hatari..wakisimama nchale, wakikaa nchale[emoji28][emoji28][emoji28]
Sawa dogoKwisha habari zenu, kwa taarifa yako hao woote watia nia 170 waliojitokeza hakuna mtu wa kushindana na mh Mdee kwa kawe akatoboa.
Vipi mbeya mjini na arusha mjini?Tatizo la maccm hawataki kukubali ukweli kuwa kwa kawe mh Mdee ndiyo kasha wekeza mtaji wake wa wapiga kura
Nilisha kwambia siku nyingi kuwa ccm ni sawa na joka la kibisa, ukifika uchaguzi mkuu lazima mtaufyata, nyie mnatamba sana kwenye uchaguzi wa marudioSawa dogo