Taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinasema Tale amedondokea tumbo hadi ametapika mishkaki miwili na chips kavu alizokula jana usiku.
Mkuu nje ya mada,

Hapo nilipo-bold: Natumai ulikusudia kusema thibitishwa. Nimekua naona baadhi ya watu wanatumia. Hata Vodacom Mpesa. Ikabidi nifanye kuuliza magwiji wa Kiswahili ikiwemo mzee Barnabas Maro. Akanieleza hakuna neno kama hilo. Wengi tunakosea huku tukiwa na nia ya kumaanisha kuthibitishwa. Neno kudhibitishwa hakuna ktk Kiswahili fasaha.
 
We boya hicho sio kigezo Cha mtu kutolewa jina lake ...

Rushwa ndio kigezo Cha mtu kutolewa acha kuota
 
Basi sawa mkuu nimekuelewa.
 
Mnatetemeka tu sasa na bado sana maana ngarambe inaanzia kesho kutwa baada ya rais mtarajiwa kutua nchini.

Ndiyo mtaanza kujua hasira za watanzania kuwa pamoja na ukimya wao kumbe walikuwa na jambo lao.

Miaka 5 mmewanyima kufanya siasa sasa hii miezi 2 itatosha kuwafanya watoe hasira zao na kuwakataa wazi wazi
 
Kwisha habari zenu, kwa taarifa yako hao woote watia nia 170 waliojitokeza hakuna mtu wa kushindana na mh Mdee kwa kawe akatoboa.
Kuna busara ya kikao cha watu 24, kuna kushinda pale kawe ndani ya sisiemu na kuna kushinda jimbo la kawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…