Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Whaaaaat?! Yaani ndo sera zake hizo?! Sasa umaarufu wake kwa akina WizKid kutamsaidia vp angalau mtu wa Mkuyuni let alone jimbo zima la Morogoro?!

Yale yale ya Pascal Mayalla ya kutoa 10M kwa kila kata!!!! We Pasco, hivi hizi tuhuma ni za kweli kwamba umeahidi 10M?! Sasa ndugu yangu si ungeniambia bhana niwe Political Strategist wako?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Mbeya mjini cdm wanachukua ushindi mapeema sana, huyo Tulia anamjua nani?

Kwa Arusha nadhani hata wewe unaelewa kabisa kuwa Gambo hana namna ya kushinda pale.
Mkuu tunza hii coment
 
Whaaaaat?! Yaani ndo sera zake hizo?! Sasa umaarufu wake kwa akina WizKid kutamsaidia vp angalau mtu wa Mkuyuni let alone jimbo zima la Morogoro?!

Yale yale ya Pascal Mayalla ya kutoa 10M kwa kila kata!!!! We Pasco, hivi hizi tuhuma ni za kweli kwamba umeahidi 10M?! Sasa ndugu yangu si ungeniambia bhana niwe Political Strategist wako?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aseee
 
1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.

Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Unamchana Njaa sio
 
Back
Top Bottom