gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Ni huyo James Ole Millya alishinda uchaguzi wa marudio baada ya kuunga juhudi akitokea Chadema.
Jamani hivi jimbo kwa olesendeka, ni nani aliyemaliza muda wake,aliyekuwa mbunge ni nani ?
Na yeye alihama cdm au?
JESUS IS LORD[emoji120]