Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Handeni vijijini Sungura amepita.
Screenshot_20200721_191428_com.fmwhatsapp.jpg
 
MKUTANO MKUU WA JIMBO LA LA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIMBO LA BUNDA, MKUTANO HUU WA UCHAGUZI UMEFANYIKA LEO TAREHE 21/7/2020, KATIKA UKUMBI WA MAKONGORO SEKONDARI, JIMBO HILI LA BUNDA TARAFA YA CHAMRIHO LINA KATA SABA
1. NYAMUSWA INA
2. KITARE
3. NYAMANG'UTA
4. MUGETTA
5. MIHINGO
6. SALAMA
MKUTANO HUU ULIKUWA NA JUMLA YA WAJUMBE HALALI 338
MATOKE NI KAMA IFUATAVYO: 1-BONIPHANCE M.GITERE KURA 162 NA ALOCYE KANDORE MUSIKA KURA 140, NAMBA TATU SIMJUI KWA KWELI JINA GUMU
LAKINI KAKA YETU FYEKA SUMERA AKAPATA KURA 4
NAONA UPINZANI UNAPITA KIRAHISI SANA
 
Natamani vyama vya upinzani vingekuwa walau na mchakato wa wazi namna hii, hamasa ni kubwa, awareness ni kubwa hata kwa wasio na mrengo wowote.
Hii waige kwa kweli ni jambo jema, pia inasaidia kupromote wagombea kwenye maeneo yao na kuongeza hamasa ya uchaguzi mkuu hasa ukizingatia walipigwa pin kufanya siasa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom