Arusha tayari lema ndio mbunge. Naamini hata mbeya mjini hakuna wa kumuua jongweVipi mbeya mjini na arusha mjini?
Huyu hapa mwingineIla wale waliounga juhudi wananyoshwa hatari..wakisimama nchale, wakikaa nchale[emoji28][emoji28][emoji28]
Ukiacha mambo yote ya Sugu kuwa na ngome yenye nguvu na kukubalika Mbeya, Watu wa Mbeya hawakubali kuongozwa na mwanamke.Mbeya mjini cdm wanachukua ushindi mapeema sana, huyo Tulia anamjua nani?
Kwa Arusha nadhani hata wewe unaelewa kabisa kuwa Gambo hana namna ya kushinda pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Whaaaaat?! Yaani ndo sera zake hizo?! Sasa umaarufu wake kwa akina WizKid kutamsaidia vp angalau mtu wa Mkuyuni let alone jimbo zima la Morogoro?!
Yale yale ya Pascal Mayalla ya kutoa 10M kwa kila kata!!!! We Pasco, hivi hizi tuhuma ni za kweli kwamba umeahidi 10M?! Sasa ndugu yangu si ungeniambia bhana niwe Political Strategist wako?!
Mkuu tunza hii comentMbeya mjini cdm wanachukua ushindi mapeema sana, huyo Tulia anamjua nani?
Kwa Arusha nadhani hata wewe unaelewa kabisa kuwa Gambo hana namna ya kushinda pale.
Acha ukuda mkuu.lissu tumemsikiliza na tunajiandaa kumpokea.lakini pia si vibaya tukifuatilia waunga Juhudi wanavokula za uso.Chadema tunamkosea heshima Lissu, leo kaongea vitu vya maana sana ila hakuna mwenye habari nae, chadema wote wapo busy na kura za maoni za CCM
JELLY SILAA KWA SANAUkonga majina ya Gery Slaa na Robert Masegeti yaanza kujirudia rudia sana kwenye zoezi la kuhesabu!!!
Kamdedisha yule msaliti Ole Millya.Jamani yaani sendeka kapita? Loooh
JESUS IS LORD[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AseeeWhaaaaat?! Yaani ndo sera zake hizo?! Sasa umaarufu wake kwa akina WizKid kutamsaidia vp angalau mtu wa Mkuyuni let alone jimbo zima la Morogoro?!
Yale yale ya Pascal Mayalla ya kutoa 10M kwa kila kata!!!! We Pasco, hivi hizi tuhuma ni za kweli kwamba umeahidi 10M?! Sasa ndugu yangu si ungeniambia bhana niwe Political Strategist wako?!
Vijana wanasema miaka 15 ni mingi sana akapumzike wanataka damu changa.Asante! Duh mwambalaswa,napiga cm hapokei Mara hapatikani! Naye ni mzee bwana apumzike
[emoji848][emoji850][emoji87]ss itakuwaje takula nn,taambia nn watu
[emoji23][emoji23]aah bwana atoke tu
JESUS IS LORD[emoji120]
Furaha Dominic 102 [-+]
Anjela Kiziga 84 [+-]
Askofu Josephat Gwajima 79[+-]
Bukwimba ana ngap?Naona kulwa na doto biteko wote wamepata kura nyingi
Msaliti kasalitiwaHuyu hapa mwingine
SIMANJIRO
Chistopher olesendeka 305
Kiria 47
James milya 15
Toima 11
Lenganasa 8
CV yake ni mpwa wa mzee baba jiweHuyu Furaha Dominick so wa mchezomchezo. Kawakalisha Magwiji
Mkuu tunza hii coment
Atulie ale pension ya jkYaaani kutoka first lady kote hajatosheka
Acha ukuda mkuu.lissu tumemsikiliza na tunajiandaa kumpokea.lakini pia si vibaya tukifuatilia waunga Juhudi wanavokula za uso.
Ndio malipo ya usaliti hayo, watu waliumizwa sana kuwapambania washinde then wanakuja kuzingua kizembe.Paulina Ghekuli masikini juzi alikuwa anaomba pesa hali mbaya, leo watu wamefyeka.
Unamchana Njaa sio1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.
Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Kamdedisha yule msaliti Ole Millya.