Yah ni mapacha hao.Hawa ndugu!??View attachment 1512983
Jiwe alimwambia litakuwa Lijuabaridi!!Lijuakali hajalia kweli
Ova
Safii akili kubwa hizi zinatakiwa bungeni.Asante Geita leteni vipaji kwa mustakabari wa Hapa kazi TUUUUUHawa ndugu!??View attachment 1512983
Kulwa Biteko kashinda. Bukwimba ChaliiiiiiiBusanda vp?
Weka majibu ya Babu Tale.Baba Mlezi kashindwa ujanja hata na Babutale!!
Tatizo ni pale watakapolazimisha Tulia awe mshindi, italeta mtafaruku kama ule wa Rungwe 2015 uliopelekea uharibifu mkubwa na kutoa hata uhai ili tu Mh Sauli atangazwe mshindi. Hadi JWTZ toka Mbalizi likapelekwa Tukuyu, hili laweza kujirudia Mbeya mjini 2020.Haswa hilo ndiyo jambo ambalo washauri wa mambo ya kisiasa naona hawakumtendea Tulia
umekaa naye lini ukajua hana mihemko. ndo mana kina dada mnatapeliwa kirahisiInawezekana akawa mpwa kweli.... ila anaonekana kuwa na uelewa, ukomavu na uwezo binafsi. Mdogo lakini hana mihemko🤗🤗
Labda ataapishwa kama rais wa tz ya mitandaoni
Sijaona majibu lakini nimeona watu wake wa karibu wameanza kutoa pongezi!!Weka majibu ya Babu Tale.
ni Jitu Patel au Jitu Son?
Waitara vipi?Sijaona majibu lakini nimeona watu wake wa karibu wameanza kutoa pongezi!!
MKUTANO MKUU WA JIMBO LA LA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIMBO LA BUNDA, MKUTANO HUU WA UCHAGUZI UMEFANYIKA LEO TAREHE 21/7/2020, KATIKA UKUMBI WA MAKONGORO SEKONDARI, JIMBO HILI LA BUNDA TARAFA YA CHAMRIHO LINA KATA SABA
1. NYAMUSWA INA
2. KITARE
3. NYAMANG'UTA
4. MUGETTA
5. MIHINGO
6. SALAMA
MKUTANO HUU ULIKUWA NA JUMLA YA WAJUMBE HALALI 338
MATOKE NI KAMA IFUATAVYO: 1-BONIPHANCE M.GITERE KURA 162 NA ALOCYE KANDORE MUSIKA KURA 140, NAMBA TATU SIMJUI KWA KWELI JINA GUMU
LAKINI KAKA YETU FYEKA SUMERA AKAPATA KURA 4
Unamkumbuka marehemu mawazo? Kila likitajwa jina la Busanda huwa picha inanijia ya Mawazo alivyodhulumiwa uhai wake kisa siasa.Kulwa Biteko kashinda. Bukwimba Chaliiiiiii
Mabadiliko tunayashuhudia sasa. Nchi iko site uchumi wa kati huooo...Tuliza mzuka ushuhudie mabadiliko