Kuna maeneo bado ni sifuri kabisa.Duuh huyu mzee kapita
Musoma mjiniNiipongeze mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii forums kwa jinsi ya updates za matokeo ya kura yalivyokua yakitiririka hakika toka jana tumekua tukifuatilia
Shida naiona ktk radio na tvs zetu sijui tatizo ni nini ?
Mchakato huu ni wa nchi nzima lakini cha ajabu tokea Jana tunaletewa matokeo mengi ni yale yale tu
Mkazo na nguvu zote umewekwa Kigamboni, Kawe na Dodoma ! Ni mambo ya ajabu kana kwamba ndio nchi imeishia hapo !
Utangazaji umekua mbovu sana hivi kweli tunaletewa matokeo ya jimbo la ruangwa na mtama unashindwa kutupa ya wilaya na lindi mjini ?
Yaani hadi saa hii wengine hatujapata matokeo kamili officially ya
Rukwa
Lindi
Musoma
Tanga
Monduli
Mbeya
Tabora
Moshi
Singida
Songea
Mtwara.. Nk toka jana wanatangazwa hao hao kina steve nyerere , chegeni, ndugai,...
Jamani jifunzeni kwa wenzenu akina CNN, BBC, ..
Tunashukuru Channel kwa update japo ya kituo kimoja tu, why msiwe mnazunguka sehemu tofauti ? Au shida ni budget ?
AsanteMorogoro kusini Mashariki sijui.
Kale kasaliti kamepigwa chini, kameambulia kura 13 mamamake! Ndio kajue kwamba bila CHADEMA ni kanyonge sana!Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13
Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbung
Kapuya huyuhuyu au?KALIUA TOWN
01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0
WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209
(3)KILATU DENIS LONGINO 71
Wana njaa.wakipewa 30 @ lazima wapige Kura kwa uaminifuSijawahi kuona watu wa ajabu Kama wajumbe wa CCM aka wapiga Kura, wananunulika kirahisi mno
Nasikia Ndanda Mwambe anapumulia mashine
Same Magharibi
David Matayo= 389
Angela Kairuki=300
Wengine= 50
Wajumbe wote hupewa rushwa.sio Dar mpk manyovu.
kapigwa chini, nafasi ya tatu kwa mbali sana..
Hapa lazima kura ya turufu kutoka kwa.mwenyekiti itumike
Mungu saidia huyu kangi asipite labisaKangi Lugola 173
Charles Kajege 173
Acha upopoma Sugu ndio mbunge aliyepata kura nyingi kuliko yeyote tz uchaguzi wa 2015Wahuni wengi hawana kadi za kupiga kura saiz tunondoka na Dr. Tulia
Ulanga magharibi jimbo alilokuwa analiongoza Haji Mpondahii wapi mkuu?
Safi sana aisee.Babutale kashinda