Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Niipongeze mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii forums kwa jinsi ya updates za matokeo ya kura yalivyokua yakitiririka hakika toka jana tumekua tukifuatilia

Shida naiona ktk radio na tvs zetu sijui tatizo ni nini ?
Mchakato huu ni wa nchi nzima lakini cha ajabu tokea Jana tunaletewa matokeo mengi ni yale yale tu
Mkazo na nguvu zote umewekwa Kigamboni, Kawe na Dodoma ! Ni mambo ya ajabu kana kwamba ndio nchi imeishia hapo !
Utangazaji umekua mbovu sana hivi kweli tunaletewa matokeo ya jimbo la ruangwa na mtama unashindwa kutupa ya wilaya na lindi mjini ?
Yaani hadi saa hii wengine hatujapata matokeo kamili officially ya
Rukwa
Lindi
Musoma
Tanga
Monduli
Mbeya
Tabora
Moshi
Singida
Songea
Mtwara.. Nk toka jana wanatangazwa hao hao kina steve nyerere , chegeni, ndugai,...
Jamani jifunzeni kwa wenzenu akina CNN, BBC, ..
Tunashukuru Channel kwa update japo ya kituo kimoja tu, why msiwe mnazunguka sehemu tofauti ? Au shida ni budget ?
Musoma mjini
Mathayo kura 220 na juma mokiri kura 122
 
KALIUA TOWN

01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0

WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217

(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209

(3)KILATU DENIS LONGINO 71
Kapuya huyuhuyu au?
Aah bwana huyu aachie ss
 
wazee wamechachamaa kura za maoni kuongoza

George mkuchika alizaliwa 1948 ana miaka 72 anataka apewe nafasi ya ubunge
Profesa Kapuya alizaliwa 1945 ana miaka 75 anataka apewe nafasi ya ubunge

Anyway lakini wazee wetu nao vizuri kukubali kupumzika umri umeenda sana wataenda kusinzia tu bungeni
 
Back
Top Bottom