GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Bahasha ya 5m unampa nani ? Na je mgombea unakua Peke yako ?
Kwa sababu wewe ukiweka 5m mgombea mwingine Ataweka 10m mwingine 4m wanaopokea ni hao hao wajumbe mwisho wa siku wote mtaliwa hela atapigiwa kura yule anaekubalika
Halafu nani mwenye uwezo wa kuhonga Kamati kuu?? Utakua hujipendi wewe
Yaan unampelekea Mangula,Polepole, Bashiru au Mwenyekiti Milion 5??
Hahahhaaa
Halafu pia maamuzi ya kamati kuu sio ya kupiga kura. Politburo ina taratibu zake na vyombo vyake ni mafaili tu hakuna kura