Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Kutoka maktaba :
Julai 2020

Stephen Wasira -"mwaka 2015 tulidhulumiwa na kuhujumiwa sasa 2020 hatukubali. Rushwa ilitembea hata kupitia CCM angesimamishwa malaika 2015 asingeshinda"

 
Hiki ndicho kipindi ambacho vijana watampigia Yule MKE wake kwasabb muda wote atashinda bunguni huku wahuni wakifanya Yao Kwa MKE mdogo
 
Siyo kwenda mbeya kwenye miaka mitatu, sema jana au juzi maana mbeya ndiyo nyumbani kwangu na miaka yote napiga kura.

Karibu sana hapa city pub utafune castle light na nyama choma ya mbuzi tusherehekee kupigwa kwa Bashite
1-Mwaka 2015 sugu alishinda kwa kura 97k dhidi ya 46k za Shitambala. Raia hawakua na imani na Shitambala baada ya Kusaliti kule Mbeya vijijini. kwa hizo asilimia 100 ulizompa sugu unadhani ushawishi wa Tulia ni mdogo kuliko wa Shitambala 2015?. Kama uko objective mkuu basi huwezi kusema Sugu atateleza huu Mwaka,

2-Dr Tulia ana mtaji mkubwa ambao umeshaonekana kwenye kura za maoni. Mwaka 2015 CCM haikua kitu kimoja maana kulikua na timu Kajuna na timu Shitambala. Mwaka huu CCM ni moja. Sasa unaanzaje kusema Sugu atateleza?. naomba unipe sababu za msingi hapo.
 
Jimbo la Dodoma mjini
Kura zilizo pigwa ni 1189 kura iliyo haribika ni 1
Kura halali 1188

Anthony Mavunde 904
Mussa Luhamo 111
Robert Mtyani 29

Jimbo la Manyoni Masharik

Dr. Chaya Pius Stephen 530
Mtuka Daniel Edward (Mtetezi ) 79
Jumanne Ismail Makandha 40
 
Itilima simiyu
kura zilizopigwa 657
. Kura halali 657 ,
Daud njalu silanga kura 344,
frank Julius kura 310,
Masanja Charles kura 3
 
Ni kweli mkuu ila bado ana advantage dhidi ya Waitara, kwani pia ule upepo wa kisiasa uliombeba 2015 haupo tena ila Waitara kutoboa bado ni mtihani. October si mbali sana tuombe uhai tu.
Waitara atashinda kihalali kabisa
 
Ni kweli mkuu ila bado ana advantage dhidi ya Waitara, kwani pia ule upepo wa kisiasa uliombeba 2015 haupo tena ila Waitara kutoboa bado ni mtihani. October si mbali sana tuombe uhai tu.
Very balanced and measured opinion.
 
Back
Top Bottom