Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
KALIUA TOWN

01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0

WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217

(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209

(3)KILATU DENIS LONGINO 71
Hili litakuwa jimbo moja wapo ambapo kamati kuu itapindua matokeo.
 
Vipi wewe mbona huweki ya babu Tale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana ulikuwa unasumbuka sana kutaka kujua matokeo yake.
Huyo naskia katanguliza mke sijui ni kweli, ila kwa mimi muislam sipaswi kuamini hayo mambo
 
wazee wamechachamaa kura za maoni kuongoza

George mkuchika alizaliwa 1948 ana miaka 72 anataka apewe nafasi ya ubunge
Profesa Kapuya alizaliwa 1945 ana miaka 75 anataka apewe nafasi ya ubunge

Anyway lakini wazee wetu nao vizuri kukubali kupumzika umri umeenda sana wataenda kusinzia tu bungeni
Kuna wakati huwa ninaamini, kuna nati zimelegea kichwani mwa wajumbe wengi wa CCM. Kama sio utaahira basi ukichakaa umejaa vichwani.

Sasa mtu kama Kapuya au Mkuchika unawarudishaje tena kugombea ubunge?
Yaani katikati ya utitiri wote huo wa watu waliotia nia bado hivi vibabu vilivyochoka mnataka virudi bungeni?
Mmelogwa na nani?
 
Haya majimbo ambayo mshindi wa kwanza na wa pili hawajapigana gap kubwa huwa rahisi kiasi kwa wapinzani kuyachukua hasa kama aliyeshindwa akawa hana busara au hajakubaliana na matokeo ama ngazi ya juu ikimkata aliyeongoza.

BTW:TRA waanze kukata kodi kwenye mapato ya fomu za kugombea ubunge.
 
Waliodondokea pua jana na leo Updates

Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
*
*
Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2
Sipirian Musiba Chalii Mwibara
Kafulila Kigoma kusiniChalii
Katambi Kahama Chalii
Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
Dk Mashinji kura 2 Kawe
Askofu Gwajima 79 Kawe
Lijuakali Kilombero kura 5
Silinde Chaliii Tumduma
Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
Zamaradi kura 2 Kinondoni
Kalapina kura 1 Kinondoni
Makonda Kigamboni Chalii
Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
Mtulia Chali Kinondoni kura 11
Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
Mpoki 0 Kigamboni
Lazaro chalii Arusha mjini
Mtolea Temeke Chalii
Kafulila Kigoma kusiniChalii
Katambi Kahama Chalii


Bado sijapata ya
Mc Pilipili




NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
MC pilipili hajaambulia hata kura moja.
 
Back
Top Bottom