Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Waliodondokea pua jana na leo Updates

Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
Mwita Waitara apeta
*
*
Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2
Sipirian Musiba Chalii Mwibara
Kafulila Kigoma kusiniChalii
Katambi Kahama Chalii
Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
Dk Mashinji kura 2 Kawe
Askofu Gwajima 79 Kawe
Lijuakali Kilombero kura 5
Silinde Chaliii Tumduma
Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
Zamaradi kura 2 Kinondoni
Kalapina kura 1 Kinondoni
Makonda Kigamboni Chalii
Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
Mtulia Chali Kinondoni kura 11
Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
Mpoki 0 Kigamboni
Lazaro chalii Arusha mjini
Mtolea Temeke Chalii
Kafulila Kigoma kusiniChalii
Katambi Kahama Chalii


Bado sijapata ya
Mc Pilipili




NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasoro Mwita Waitara
 
Point ya nguvu kutoka kwa.. nguvu..
Yote yanawezekana mimi ninachoshukuru keki ya taifa tunagawana sio kila siku ccm, sugu hata akikosa ubunge ataishi maisha mazuri sio sawa kama anekosa ubunge maisha yote
 
Back
Top Bottom