Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
ANATAKIWA AKATWE YEYE HADI MSHINDI WA TATU KWA SABABU WOTE WANA KASHFA ZA RUSHWA NA MAADILI ( WALIANZA KAMPENI MAPEMA NA WALIITWA NA VIKAO VYA NIDHANI WILAYANI ! YEYE ALIKUWA ANAMWAGA FEDHA LIVE NA KWA FUJO KATIKA MCHAKATO MZIMA. NAMBA MBILI WAKE JANA ALIKAMATWA ANAGAWA VITENGE VYA CCM NA PESA YA MASHONO 30,00)/=

NAMBA 3 NI ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI; ALIKUWA NA KESI YA KUHUJUMU FEDHA ZA MRADI WA MAJI NA DISPENSARI NA KESI ILIKUWA HALMASHAURI NA TAKUKURU KWA MUDA MREFU.

HAPA KUPITISHWA HAWA WATU NI KUFURAHIA RUSHWA NA VITENDO VYA UHUJUMU.

UKONGA HATUTAKI MBUNGE MWANAUME YENA; HILI SUALA LITAKUJA KUIGHALIMU CCM KAMA 2015. NA KIPINDI KINACHOFUATA SIDHANI KAMA WAPINZANI WATAUNGA MKONO JUHUDU
Na wakatwe tu,,naunga mkono hoja
 
God Father wake amerudi kwenye siasa za Tanzania ingawa si mstari
 
ANATAKIWA AKATWE YEYE HADI MSHINDI WA TATU KWA SABABU WOTE WANA KASHFA ZA RUSHWA NA MAADILI ( WALIANZA KAMPENI MAPEMA NA WALIITWA NA VIKAO VYA NIDHANI WILAYANI ! YEYE ALIKUWA ANAMWAGA FEDHA LIVE NA KWA FUJO KATIKA MCHAKATO MZIMA. NAMBA MBILI WAKE JANA ALIKAMATWA ANAGAWA VITENGE VYA CCM NA PESA YA MASHONO 30,00)/=

NAMBA 3 NI ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI; ALIKUWA NA KESI YA KUHUJUMU FEDHA ZA MRADI WA MAJI NA DISPENSARI NA KESI ILIKUWA HALMASHAURI NA TAKUKURU KWA MUDA MREFU.

HAPA KUPITISHWA HAWA WATU NI KUFURAHIA RUSHWA NA VITENDO VYA UHUJUMU.

UKONGA HATUTAKI MBUNGE MWANAUME YENA; HILI SUALA LITAKUJA KUIGHALIMU CCM KAMA 2015. NA KIPINDI KINACHOFUATA SIDHANI KAMA WAPINZANI WATAUNGA MKONO JUHUDU
Yeye hajahonga. Hela angetoa wapi wakati alikuwa jobless for five years!
 
Hatimaye huyu dogo amerejea tena. Ameshinda kura za maoni jimbo la Ukonga. Tumuombee ili mwenye kisirani asije akakata jina lake.

Tulimmiss sana huyu bwana mdogo.

Mfumo wa sasa haumtaki Jerry nahisi kuna alilomfanyia ' Mwenye Chair ' ambalo pengine wengi Wetu hatulijui kwani Jamaa ' Hathaminiwi ' kabisa.
 
Hatimaye huyu dogo amerejea tena. Ameshinda kura za maoni jimbo la Ukonga. Tumuombee ili mwenye kisirani asije akakata jina lake.

Tulimmiss sana huyu bwana mdogo.
Bashite angegombea ukonga angeshinda labda Kama aliwaogopa wakurya wa chadema
 
Safari hii naona wote Kurwa na Doto wote bungeni 1[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safari hii atavunja mwiko!
HAIWEZEKANI LABDA BUDA AKIVUTA, sisi huku Upareni tunajua hilo. Buda vifaranga wake wanamtii 100% walioko ndani ya nchi Mabalozi na walioko nje. Wapare wenzangu humu wanaweza pia kutoa michango yao. Mimi naishi Kirongwe na asubuhi tulizungumzia hilo nikiwa Lembeni kote huko ni Mwanga na tulikuwa na maoni yanayo fanana.
 
Back
Top Bottom