Ndio. Issa Mtemvu. Huyu ni ndugu na Abas Mtemvu wa Temeke!
Na wakatwe tu,,naunga mkono hojaANATAKIWA AKATWE YEYE HADI MSHINDI WA TATU KWA SABABU WOTE WANA KASHFA ZA RUSHWA NA MAADILI ( WALIANZA KAMPENI MAPEMA NA WALIITWA NA VIKAO VYA NIDHANI WILAYANI ! YEYE ALIKUWA ANAMWAGA FEDHA LIVE NA KWA FUJO KATIKA MCHAKATO MZIMA. NAMBA MBILI WAKE JANA ALIKAMATWA ANAGAWA VITENGE VYA CCM NA PESA YA MASHONO 30,00)/=
NAMBA 3 NI ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI; ALIKUWA NA KESI YA KUHUJUMU FEDHA ZA MRADI WA MAJI NA DISPENSARI NA KESI ILIKUWA HALMASHAURI NA TAKUKURU KWA MUDA MREFU.
HAPA KUPITISHWA HAWA WATU NI KUFURAHIA RUSHWA NA VITENDO VYA UHUJUMU.
UKONGA HATUTAKI MBUNGE MWANAUME YENA; HILI SUALA LITAKUJA KUIGHALIMU CCM KAMA 2015. NA KIPINDI KINACHOFUATA SIDHANI KAMA WAPINZANI WATAUNGA MKONO JUHUDU
Namfaham sn tu,nimesoma nae O level!
U ded alitembelea nyota ya baba ake!
Alikuwa waziri kipindi kirefu tu,those days!
Kweli mkuuAkipitishwa afanye mabadiliko yanayoeleweka
Goli la mkono litahusikaUbunge CCM yeyote hapati
Sana. Halafu anazidi kuwa kijana. Yaani ukiwa na hela huzeeki.Karudi kwa kishindo
Ova
OK! Nimekusona boss.Biharamulo ni jimbo ambalo 85% ya wakaazi wake ni kutoka Burundi, wazinza, wanyarwanda na waha
Yeye hajahonga. Hela angetoa wapi wakati alikuwa jobless for five years!ANATAKIWA AKATWE YEYE HADI MSHINDI WA TATU KWA SABABU WOTE WANA KASHFA ZA RUSHWA NA MAADILI ( WALIANZA KAMPENI MAPEMA NA WALIITWA NA VIKAO VYA NIDHANI WILAYANI ! YEYE ALIKUWA ANAMWAGA FEDHA LIVE NA KWA FUJO KATIKA MCHAKATO MZIMA. NAMBA MBILI WAKE JANA ALIKAMATWA ANAGAWA VITENGE VYA CCM NA PESA YA MASHONO 30,00)/=
NAMBA 3 NI ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI; ALIKUWA NA KESI YA KUHUJUMU FEDHA ZA MRADI WA MAJI NA DISPENSARI NA KESI ILIKUWA HALMASHAURI NA TAKUKURU KWA MUDA MREFU.
HAPA KUPITISHWA HAWA WATU NI KUFURAHIA RUSHWA NA VITENDO VYA UHUJUMU.
UKONGA HATUTAKI MBUNGE MWANAUME YENA; HILI SUALA LITAKUJA KUIGHALIMU CCM KAMA 2015. NA KIPINDI KINACHOFUATA SIDHANI KAMA WAPINZANI WATAUNGA MKONO JUHUDU
Hatimaye huyu dogo amerejea tena. Ameshinda kura za maoni jimbo la Ukonga. Tumuombee ili mwenye kisirani asije akakata jina lake.
Tulimmiss sana huyu bwana mdogo.
Pugu boyDogo anajitahidi sana PUGU HIGH school boy
Bashite angegombea ukonga angeshinda labda Kama aliwaogopa wakurya wa chademaHatimaye huyu dogo amerejea tena. Ameshinda kura za maoni jimbo la Ukonga. Tumuombee ili mwenye kisirani asije akakata jina lake.
Tulimmiss sana huyu bwana mdogo.
Vipi amechezeaMusiba tangia hapo ni kichaa tu, analazimisha udc
HAIWEZEKANI LABDA BUDA AKIVUTA, sisi huku Upareni tunajua hilo. Buda vifaranga wake wanamtii 100% walioko ndani ya nchi Mabalozi na walioko nje. Wapare wenzangu humu wanaweza pia kutoa michango yao. Mimi naishi Kirongwe na asubuhi tulizungumzia hilo nikiwa Lembeni kote huko ni Mwanga na tulikuwa na maoni yanayo fanana.Safari hii atavunja mwiko!
Na kusifu kote hukoMusiba chaliiiii