Na kusifu kote huko
Jana usiku alipaki pugu kajiungeni yeye na Ojambi live; makatibu wa kata zote13 za jimbo la ukonga wamekula hela na ahadi kem kem. Unajua viongozi wa ccm ukonga kwa njaa!Yeye hajahonga. Hela angetoa wapi wakati alikuwa jobless for five years!
Walifungamana kura itakuwaje?
OK! Nimekusona boss.
Dr Haji Mponda nafikiri enzi za mkwele alishawahi kuwa waziri wa afya, aliingia bungeni kwa kumtoa Juma NgasongwaHaji huyu NI yupi?
Mtevu 83, Vick Kamatta 45
Nkamia chali nasikia wameshindwa kumuongezea muda Kama atakavo bossi wake aongezewe mda ili tuzidi kuisoma
Waitara vip
Kessy,kibajaji, msukuma vipi,silinde,
Hawa ndo wameshusha hadhi ya bunge kuonekana Kama kijiwe cha ulanzi.
Mwanaharakati huru
Nani kashinda kura za maoni? samahani kama utaweza kunipa na matokeo yao.