Majina yao haya hapa!Huyu Mtega jina lake la kwanza ni nani!?
HeeeeMtevu 83, Vick Kamatta 45
Lione domo! Tungepata hasara sana Shy town kuwa na libunge la design hii!Huyu hapo chini nadhani yupo wodini anataka kung'olewa jino maana siyo kwa kuachama hukoView attachment 1512914
Mathayo ameshinda 389Nani kashinda kura za maoni? samahani kama utaweza kunipa na matokeo yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mathayo 389Nani kashinda kura za maoni? samahani kama utaweza kunipa na matokeo yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akaongezewe mda na ukoo wake, Anataka mda uongezwe tuendelee kutesekaAnajiitaga ni mtangazaji wa kimataifa
Weka ogMkuu japo Musiba kapigwa sana lakini hiyo iligushiwa
Yule dogo wa kigoma Elia aliyeunga juhudi toka chadema kachezea nae.Umemsahau na Lijualikali na Cecil Mwambe wote wameangukia pua zao chaaliiii
Muhimu kashindwa akaendelee kuisifu