Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Huyu Mtega jina lake la kwanza ni nani!?
Majina yao haya hapa!
FB_IMG_15953622272522593.jpg


Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa matokeo ya Mwibara, unapaswa ujitathimini; je, yale yote ufanyayo kudhalilisha watu na kuwatukana ukijifanya unamtetea Rais (bila kutumwa) na unaitetea CCM, je yanathaminiwa au unaonekana kituko tu?

Haiwezekani kwa juhudi zile zote lakini wanaCCM wenzako takribani 400 wakupatie kura sifuri, hata moja ya kudanganyia hakuna?

Hii ni dalili juhudi zile zote unaonekana mjinga tuu na bado kidogo wakuchoke.

AIBU KUBWA
 
Habibu Mchange Kibaha mjini kura 69 no 4 au 5 kama sikosei. Sylvester Koka ametetea kiti
 
Kuna kitu cha kujifunza hapo, yaani mtu anayemtetea mwenyekiti wao members wenzake wasimpe hata kura moja? ina maana members wanamchukia sana mwenyekiti pia ni vile tu hawajapata fursa ya kumchinjia mwenyekiti wao baharini kama hiyo waliyopata kumnyoosha Musiba!

If A=B and B=C it means A=C!!

Watu au Mungu au Shetani mmojawapo anamtaka Musiba akae hapo alipo na afanye kazi anayoifanya hiyo hiyo hawezi kutoka now mpaka akamilishe purpose! akitoka tutakosa fursa za udukuzi wa mazungumzo ya cm ya Kinana na Nape na Januari wakimwita Rais mshamba tu wa huko Mali Mali!!
 
Back
Top Bottom