Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mmh sijuiKila KK itampitisha yeye.
Rais mtarajiwa mh Lissu anaingia jumatatu, jiandaeni kisaikolojiaAcha aende upinzani, chadema wamesema wanachukua nchi safari hii. Mmawia
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wewe hauhusiki.
Wajumbe wa CCM ndo wahusika.
Ndio yupo uchagani sasaAkwende zake huko, jamaa ni mkabila aliifanya CRDB kuwa ya Wachagga tupu. Hovyo kabisa!
Huwezi kukata mti ulioukalia.Kura za maoni zinaenda mwisho nimefanya tathimini 90% ya washindi Kura za maoni CCM wametumia rushwa waziwazi
Wagombea wengi nazani haeajamuelewa Mwenyekiti wa CCM Taifa
Mwenyekiti atoe fundisho Kwa kukata majina yao
Ni Nyenza tenaMkuu vipi updates za mbeya vijijini?!
Ni kweli kabisa wameziadiana tu.Huo utakuwa Ni uonevu karibu wote wametumia hela. Kila mmoja amepiga wajumbe hela
Mangungu outmbagala nako vipi wadau?
Nani kaongoza?Mangungu out
Kwahiyo dini yenye wafuasi wengi ndio inaamua nani ashinde?Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Huyu hata mke wake anamuona mjinga tu,nilikula nae break fast siku moja sehemu fulani alikuwa mbele yangu na watu Kama wawili wengine wakati tunanawa mikono,kabastola kake kakawa kamechomoza kiunoni upande wa kulia akaambiwa na mtu alie karibu nae,akamjibu " Bora waione wajue nimekamilika kwa mapambano" kila mtu mle restaurant alibaki mdomo wazi wakimshangaaKwa matokeo ya Mwibara, unapaswa ujitathimini; je, yale yote ufanyayo kudhalilisha watu na kuwatukana ukijifanya unamtetea Rais (bila kutumwa) na unaitetea CCM, je yanathaminiwa au unaonekana kituko tu?
Haiwezekani kwa juhudi zile zote lakini wanaCCM wenzako takribani 400 wakupatie kura sifuri, hata moja ya kudanganyia hakuna?
Hii ni dalili juhudi zile zote unaonekana mjinga tuu na bado kidogo wakuchoke.
AIBU KUBWA
Hili ni funzo kwa wagombea wote wa CCM ambao wanatarajia kuwaambia wapiga kura kuhusu mambo makubwa yakiyofanywa na Serikali bila kuzingatia hali halisi ya maisha ya mpiga kura ya kila siku.Kwa matokeo ya Mwibara, unapaswa ujitathimini; je, yale yote ufanyayo kudhalilisha watu na kuwatukana ukijifanya unamtetea Rais (bila kutumwa) na unaitetea CCM, je yanathaminiwa au unaonekana kituko tu?
Haiwezekani kwa juhudi zile zote lakini wanaCCM wenzako takribani 400 wakupatie kura sifuri, hata moja ya kudanganyia hakuna?
Hii ni dalili juhudi zile zote unaonekana mjinga tuu na bado kidogo wakuchoke.
AIBU KUBWA
πππ... yaani mtu anayemtetea mwenyekiti members wenzake wasimpe hata kura moja? ina maana members wanamchukia mwenyekiti?
Hili ni swali gumu... au wanawachukia wanaojipendekeza kwa Mwenyekiti? Au wanawachukia "waliojituma" kwa jina la Mwenyekiti?kuna kitu cha kujifunza hapo, yaani mtu anayemtetea mwenyekiti members wenzake wasimpe hata kura moja? ina maana members wanamchukia mwenyekiti?