Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Rais mtarajiwa mh Lissu anaingia jumatatu, jiandaeni kisaikolojia View attachment 1513377
Hakija pale airport hana pokelewa na askari sijui watakuwa wa wapi ila hatakuwa mapumziko mda fulani baadae mahakamani kisha jela.

Mpaka utawala umalizike miongo yake ya jpm.ujiongezi na wewe[emoji1][emoji1]
 
Baba Rais wetu John Joseph Pombe Magufuli, waliotia nia kura za maoni wanalia rushwa na hii rushwa haikufanyika tu kwa wapiga kura mpaka kwa watumishi wako na vyombo vyako utawapataje watu waadilifu wa kwenda na wewe katika safari ya kutuletea Maendeleo, maana Mungu hufanya na wale wamchao. Asilimia kubwa ya majimbo zinatajwa rushwa za pesa, viti maalumu wanawake ndio usiseme, tutaponaje?
 
Hiyo ni mambo ya kawaida sana kwa wapigania uhuru, Mandela alifungwa miaka 28 lkn mwisho wa siku alichaguliwa na wananchi wa Afrika ya kusini.
Hakija pale airport hana pokelewa na askari sijui watakuwa wa wapi ila hatakuwa mapumziko mda fulani baadae mahakamani kisha jela.

Mpaka utawala umalizike miongo yake ya jpm.ujiongezi na wewe[emoji1][emoji1]
 
nisiwe mnafiki na chuki kwa huyu jamaa,anijui simjui,ila nakubali sana utendaji wake wa kazi, ni kiongozi mzuri na mwenye maono ,naomba kamati kuu ya CCM fanyeni juu chini jina la makonda liweze kuludi kigamboni,maana huezi amani wadau nimesononeka Sanaa na nimeumia Sana, Makonda kutopita kwenye kura za maoni. japo mwenyewe anaamini ni mipango ya Mungu ila kwa upande mwingine ni mipango ya wauza madawa ya kulevya na watu wenye chuki binafsi, ungekuwa kawe ningezunguka Jimbo zima kukupigia kampeni......naamini Mungu yupo upande wako, Rais Magufuli atakuteuwa kwenye nafasi tano alizonazo na hapo hapo utakuwa waziri wa mambo ya ndani.....wasalaam
 
Nasubiria nisikie majina yatakayorudi kwa jimbo la Namtumbo, ili nione kama kweli CCM ina vyombo makini vya uchunguzi. Vinginevyo business as usual. Sitaki kuvisaidia vyombo hivyo kwa kuelezea Yale yaliyotokea,
 
nisiwe mnafiki na chuki kwa huyu jamaa,anijui simjui,ila nakubali sana utendaji wake wa kazi, ni kiongozi mzuri na mwenye maono ,naomba kamati kuu ya CCM fanyeni juu chini jina la makonda liweze kuludi kigamboni,maana huezi amani wadau nimesononeka Sanaa na nimeumia Sana, makonda kutopita kwenye kura za maoni. japo mwenyewe anaamini ni mipango ya mungu ila kwa upande mwingine ni mipango ya wauza madawa ya kulevya na watu wenye chuki binafsi, ungekuwa kawe ningezunguka Jimbo zima kukupigia kampeni......naamini mungu yupo upande wako,JPM atakuteuwa kwenye nafasi tano alizonazo na hapo hapo utakuwa waziri wa mambo ya ndani.....wasalaam
Mbona umesahau kuweka namba yako ya simu hapo chini?
Wenzako wanapokuja kumpa promo Makonda hapa JF huwa wanafanya hivyo.
Fuata utaratibu.
 
Waliodondokea pua jana na leo Updates

Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
Mwita Waitara apeta
*
*
Wasanii na watangazaji

1.Mc Pilipili kura 1 Bahi
2.Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
3.Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
4.Zamaradi kura 2 Kinondoni
5.Kalapina kura 1 Kinondoni
6.Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
7.Mpoki 0 Kigamboni
8.Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2

Waunga mkono juhudi

1.Lijuakali Kilombero kura 5
2.Silinde Chaliii Tumduma
3.Lazaro chalii Arusha mjini
4.Mtolea Temeke Chalii
5.Kafulila Kigoma kusiniChalii
6.Katambi Kahama Chalii
7.Ktulia Chali Kinondoni kura 11
8.Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
9.Dk Mashinji kura 2 Kawe
10. Paul Gekul
11.Albert Msando

Wengine

1.Askofu Gwajima 79 Kawe
2.Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
3.Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
4.Makonda Kigamboni Chalii
5.Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
6.Sipirian Musiba Chalii Mwibara
7.Goodluck Mlinga
8.Angela Kairuki



NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasoro Mwita Waitara
hawa waliopata ziro maana yake hata mikono yao wenyewe imewasaliti?

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
'nimeumia Sana, Makonda kutopita kwenye kura za maoni. japo mwenyewe anaamini ni mipango ya Mungu ila kwa upande mwingine ni mipango ya wauza madawa ya kulevya'

Kweli kabisa mkuu inaonekana huko CCM kuna wauza madawa ya kulevya wengi sana, yaani wale wajumbe wote waliompigia kura Ndugulile ni wauza madawa ya kulevya.

Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom