Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Which is which ,mbona sielewi yepi ni sahihi? Au zilipigwa za marudio kati ya kangi na huyo mwenzie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Which is which ,mbona sielewi yepi ni sahihi? Au zilipigwa za marudio kati ya kangi na huyo mwenzie?
Tuamini hipi sasa kati ya hizo?
Khamis tabasamu amepita wapi mkuu?
Mpwa (mtoto wa Dada) Mweupe kabisa katika siasa!!Kwa nini mkuu
Maskini jamani [emoji1787]Km jenista kasharoga kule kwetu peramiho, ni mbunge forever aaaaaj
Yeah nimeona ni Tar 28 Oct 2020 basi saa nne asubuhi kabla watu hawajamaliza kunywa chai, mtoto wa dada anapigwa za chembe.Uchaguzi jtano sio jumapili.
Hakija pale airport hana pokelewa na askari sijui watakuwa wa wapi ila hatakuwa mapumziko mda fulani baadae mahakamani kisha jela.Rais mtarajiwa mh Lissu anaingia jumatatu, jiandaeni kisaikolojia View attachment 1513377
Asubiri atamuita TenaDuu we jamaa wewe!!! Nimejizuia mwisho nimecheka
Hakija pale airport hana pokelewa na askari sijui watakuwa wa wapi ila hatakuwa mapumziko mda fulani baadae mahakamani kisha jela.
Mpaka utawala umalizike miongo yake ya jpm.ujiongezi na wewe[emoji1][emoji1]
Kinje hawezi kutoboa kule Wamatumbi na wangindo sio wajinga kiasi hiko japo wamefanya ujinga wa kununulika na bwana mangunguKinje(Kilwa) na Victor(Moshi Vijijini) vipi? Bado hawajapiga kura za awali?
Mbona umesahau kuweka namba yako ya simu hapo chini?nisiwe mnafiki na chuki kwa huyu jamaa,anijui simjui,ila nakubali sana utendaji wake wa kazi, ni kiongozi mzuri na mwenye maono ,naomba kamati kuu ya CCM fanyeni juu chini jina la makonda liweze kuludi kigamboni,maana huezi amani wadau nimesononeka Sanaa na nimeumia Sana, makonda kutopita kwenye kura za maoni. japo mwenyewe anaamini ni mipango ya mungu ila kwa upande mwingine ni mipango ya wauza madawa ya kulevya na watu wenye chuki binafsi, ungekuwa kawe ningezunguka Jimbo zima kukupigia kampeni......naamini mungu yupo upande wako,JPM atakuteuwa kwenye nafasi tano alizonazo na hapo hapo utakuwa waziri wa mambo ya ndani.....wasalaam
hawa waliopata ziro maana yake hata mikono yao wenyewe imewasaliti?Waliodondokea pua jana na leo Updates
Babu Tale Apeta Morogoro vijijini
Mwita Waitara apeta
*
*
Wasanii na watangazaji
1.Mc Pilipili kura 1 Bahi
2.Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
3.Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
4.Zamaradi kura 2 Kinondoni
5.Kalapina kura 1 Kinondoni
6.Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
7.Mpoki 0 Kigamboni
8.Mwana FA Muheza Chalii kura 296 nafasi ya 2
Waunga mkono juhudi
1.Lijuakali Kilombero kura 5
2.Silinde Chaliii Tumduma
3.Lazaro chalii Arusha mjini
4.Mtolea Temeke Chalii
5.Kafulila Kigoma kusiniChalii
6.Katambi Kahama Chalii
7.Ktulia Chali Kinondoni kura 11
8.Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
9.Dk Mashinji kura 2 Kawe
10. Paul Gekul
11.Albert Msando
Wengine
1.Askofu Gwajima 79 Kawe
2.Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
3.Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
4.Makonda Kigamboni Chalii
5.Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
6.Sipirian Musiba Chalii Mwibara
7.Goodluck Mlinga
8.Angela Kairuki
NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasoro Mwita Waitara