Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Acha aende upinzani, chadema wamesema wanachukua nchi safari hii. Mmawia

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Rais mtarajiwa mh Lissu anaingia jumatatu, jiandaeni kisaikolojia
Screenshot_20200608-210107.jpeg
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Kwahiyo dini yenye wafuasi wengi ndio inaamua nani ashinde?

Mbona unatumia hoja dhaifu sana mkuu.

Hizi hoja za Ponda zinawaharibu sana ufahamu wenu
 
Kwa matokeo ya Mwibara, unapaswa ujitathimini; je, yale yote ufanyayo kudhalilisha watu na kuwatukana ukijifanya unamtetea Rais (bila kutumwa) na unaitetea CCM, je yanathaminiwa au unaonekana kituko tu?

Haiwezekani kwa juhudi zile zote lakini wanaCCM wenzako takribani 400 wakupatie kura sifuri, hata moja ya kudanganyia hakuna?

Hii ni dalili juhudi zile zote unaonekana mjinga tuu na bado kidogo wakuchoke.

AIBU KUBWA
Huyu hata mke wake anamuona mjinga tu,nilikula nae break fast siku moja sehemu fulani alikuwa mbele yangu na watu Kama wawili wengine wakati tunanawa mikono,kabastola kake kakawa kamechomoza kiunoni upande wa kulia akaambiwa na mtu alie karibu nae,akamjibu " Bora waione wajue nimekamilika kwa mapambano" kila mtu mle restaurant alibaki mdomo wazi wakimshangaa
 
Kwa matokeo ya Mwibara, unapaswa ujitathimini; je, yale yote ufanyayo kudhalilisha watu na kuwatukana ukijifanya unamtetea Rais (bila kutumwa) na unaitetea CCM, je yanathaminiwa au unaonekana kituko tu?

Haiwezekani kwa juhudi zile zote lakini wanaCCM wenzako takribani 400 wakupatie kura sifuri, hata moja ya kudanganyia hakuna?

Hii ni dalili juhudi zile zote unaonekana mjinga tuu na bado kidogo wakuchoke.

AIBU KUBWA
Hili ni funzo kwa wagombea wote wa CCM ambao wanatarajia kuwaambia wapiga kura kuhusu mambo makubwa yakiyofanywa na Serikali bila kuzingatia hali halisi ya maisha ya mpiga kura ya kila siku.
 
kuna kitu cha kujifunza hapo, yaani mtu anayemtetea mwenyekiti members wenzake wasimpe hata kura moja? ina maana members wanamchukia mwenyekiti?
Hili ni swali gumu... au wanawachukia wanaojipendekeza kwa Mwenyekiti? Au wanawachukia "waliojituma" kwa jina la Mwenyekiti?
 
Back
Top Bottom